Hawapewi bure sawa ila wao si wanakuuzia nishati.Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yake je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa??
Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?Hawapewi bure sawa ila wao si wanakuuzia nishati.
Kujenga miundombinu ya kusambazia umeme ikiwemo na nguzo linapaswa kuwa JUKUMU LA MTOA HUDUMA. Ni kama vile mitandao ya simu inavyofanya inatutoza gharama/bei ya huduma aliyoitoa tu wangekuwa na upuuzi kama wa Taniusiku ina maana tungelipa gharama ya minara au nguzo(kwa kipindi kile ttcl wanatumia nguzo kupitisha nyaya.Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Mkuu TANESCO ni zaidi ya TRA. Unamuuzia mteja nguzo, na wakija wateja mwengine zaidi ya 5 wanatumia /wana wasambazia umeme nguzo hiyohiyo uliyo nunua wewe bure, hii imekaa kaa je? Mtu amenunua nguzo yake ni mali yake mwachieni atumie atakavyo na sio kuifanyia biashara kwa wateja wengine.Yaani kifupi inatakiwa ukilipia gharama zote hizo umeme nao utumie buree kufidia hasara. Tanesco waanze kulipisha baadae sana
Mifano yako haiendani na kilichowasilishwa ..Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Mbona mifano yako haiendani na unachokitetea.Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Mkuu nipigie 0687746471 nikupe mfano mzuriNi kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Logic hamna, simu inakuwa mali yako 100% hupangiwi. Utanunua vocha tu ila simu unaenda nayo popote nchini.Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
sasa mbona nguzo haziuzwi kariakoo kama simu? waache soko hurua oene kama hutamwona niffer akifungua kontena la nguzo na miter sinzaNi kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Vipi kuhusu mabomba ya maji yanayoleta maji nyumbani kwako na mita ya maji, hua ni bure pia eeh?? Au unaruhusiwa kuviuza kwakua ulivilipia?Mbona mifano yako haiendani na unachokitetea.
Simu inabaki kuwa ya kwangu naweza kuiuza, same kwa mtungi wa gas wewe nguzo unaweza kuiuza? Mita unaweza kuiuza. Hiyo ni miundombinu yao wanapaswa kuigharamia. Mfano wa simu ni taa unazoweka kwenye nyumba na socket hivyo ndivyo mtu anastahili kununua na ndio maana vinabaki kuwa vya kwake.