KERO Waziri Biteko, kwanini nguzo moja ya umeme ilipiwe Tsh 515,000/ wakati ni mali ya shirika? Huu unyanyasaji mpaka lini?

KERO Waziri Biteko, kwanini nguzo moja ya umeme ilipiwe Tsh 515,000/ wakati ni mali ya shirika? Huu unyanyasaji mpaka lini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
NGUZO UNALIPIA KWASABABU UNA HARAKA NA KUPATA UMEME. NGUZO NI BUREEE IKIWA UMEME UMEKUFIKIA BILA KUUFATA.
 
Kwa hiyo hizo 3% wanakata za REA wakati wa kununua LUKU, zinaenda wapi? Au na wewe unapewa mshiko

Ni wizi wa kalamu, Kumbe hujawahi kununua luku, una umri gani
Mkuu , mimi nipo mjini kitambo ambako huyo REA hayupo, sasa unanikata hiyo 3% ya REA kwa kigezo gani wakati REA yenywe ni msaada tu wa kutoa bure.
 
Chukuwa mfano kidogo tu, unaponunua sukari dukani, mfuko ni juu ya mwenye biashara, anakupa mfuko. Tanesco nao watoe nguzo bure katika huduma zao. Ni unyanyasaji. Kuna sehemu moja "jina kapuni " huu umeme wa REA, tena kijijini wananchi walinunua nguzo.
 
Back
Top Bottom