Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio sasa uone tatizo la umonopoly. taasisi za serikali zinatumia mwanya wa kuwa monopoly kuwanyonya wananchi. Ingelikuwa kuna kampuni binafsi zinatoa huduma same, bila shaka miundombinu wangekufungia bure maana inabaki kuwa ya kwao.Vipi kuhusu mabomba ya maji yanayoleta maji nyumbani kwako na mita ya maji, hua ni bure pia eeh?? Au unaruhusiwa kuviuza kwakua ulivilipia?
Simu ni yako na unaweza kubadilisha mtoa huduma. Mtungi pia ni wako unaweza kuuveuza kuwa chungu.Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Out of point (ulitumia taratibu zipi kufungiwa fiber ya tigo)ndio sasa uone tatizo la umonopoly. taasisi za serikali zinatumia mwanya wa kuwa monopoly kuwanyonya wananchi. Ingelikuwa kuna kampuni binafsi zinatoa huduma same, bila shaka miundombinu wangekufungia bure maana inabaki kuwa ya kwao.
Ntakupa mfano, nimefunga fiber ya tigo mimi nimelipia kifurushi tu, wao wameniletea waya, rooter wakafunga kwa gharama zao maana vinabaki kuwa vya kwao. Sasa uliza ttcl inakuaje ndo utaelewa.
Na pia haiwi mali yakoHawapewi bure sawa ila wao si wanakuuzia nishati.
Wamesambaza nguzo zao za nyaya za fiber dar es salaam, wakitoka wanaenda dodoma. kuna nguzo zinapita nje hapa kwangu, hivyo wana ma sales wanapitapita mtaani nyumba kwa nyumba wakitangaza huduma, yao so nilichukua namba, akanitumia lipa namba nikalipa, baada ya siku 2 wakaja masurveyor, na leo wakaja kunifungia yani mchakato mzima umekuwa ndani ya siku 5.Out of point (ulitumia taratibu zipi kufungiwa fiber ya tigo)
Ni kweli mtungi unaununua na unakuwa mali yako. Ila nguzo unainunua lakini inabaki kuwa mali ya TANESCO. Vivyo hivyo kwa simu.Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Wamesambaza nguzo zao za nyaya za fiber dar es salaam, wakitoka wanaenda dodoma. kuna nguzo zinapita nje hapa kwangu, hivyo wana ma sales wanapitapita mtaani nyumba kwa nyumba wakitangaza huduma, yao so nilichukua namba, akanitumia lipa namba nikalipa, baada ya siku 2 wakaja masurveyor, na leo wakaja kunifungia yani mchakato mzima umekuwa ndani ya siku 5.Out of point (ulitumia taratibu zipi kufungiwa fiber ya tigo)
Wamesambaza nguzo zao za nyaya za fiber dar es salaam, wakitoka wanaenda dodoma. kuna nguzo zinapita nje hapa kwangu, hivyo wana ma sales wanapitapita mtaani nyumba kwa nyumba wakitangaza huduma, yao so nilichukua namba, akanitumia lipa namba nikalipa, baada ya siku 2 wakaja masurveyor, na leo wakaja kunifungia yani mchakato mzima umekuwa ndani ya siku 5.Out of point (ulitumia taratibu zipi kufungiwa fiber ya tigo)
Sawa niko tayariShirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Wewe unaishi Tz kweli?Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Mbona mlisema January ndio fisadi vipi kwa hili Biteko naye ni fisadi?Alipokufa Magufuli ulishangilia ukome kabisa na nyumbu wenzio.
Siku nyingine ujifunze waliotakiwa kushangilia ni hayo mafisadi yanauza nguzo laki 5 badala ya wewe kapuku
Mkuu, hawa jamaa watumia hizi nguzo kama moja ya MAOKOTO yao kwa wale wanaokuja kuunganishiwa umeme kwenye nguzo iliyo nunuliwa na mteja wa kwanza wa the. 500,000/=.Yote haya alisababisha mama wakati anarithi kiti chake Kwa kulazimisha Tanesco ipandishe bei kutoka 27000 Hadi 321000 ndani ya mita 30 Kwa madai mfu ya kuwa eti hiyo ndiyo bei halisi.kwa Nchi zinazojitambua kama ujerumani na Norway huduma ya umeme Huwa unaungwa Bure na wanaanza kukata kidogokigogo kwenye matumizi Yako ya umeme.mfano kama matumizi Yako Kwa mwezi ni 20000 watakupa umeme wa 15000 Hadi deni linaisha.Nchi zetu zinaongozwa na washamba sana
Mkuu kwa TANESCO ni vyote viwili.Kwani HUDUMA KUU ni kuuza nguzo au kuuza UMEME..