KERO Waziri Biteko, kwanini nguzo moja ya umeme ilipiwe Tsh 515,000/ wakati ni mali ya shirika? Huu unyanyasaji mpaka lini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
watu wanapiga palefu huko njombe mti wa nguzo hauzid elfu 30 na ipo mingi sana wateja haina mpaka waje tanesko
 
Mkuu, Heshima kwako; leo huko vijijini watakwambia aidha awamu ya REA imepita ama nguzo za REA hazipo, zilizopo ni za TANESCO. Si unafahamu wale ni wataalamu?
Kwa hiyo hizo 3% wanakata za REA wakati wa kununua LUKU, zinaenda wapi? Au na wewe unapewa mshiko

Ni wizi wa kalamu, Kumbe hujawahi kununua luku, una umri gani
 
Kweli ww mzalendo uchwara, hata maswali yako yamekaa kíuchwara. Je LUKU hatununui, kodi zinazokatwa kwenuye luku nyingine ndiyo zingekuwa zinaenda huko kusambaza nguzo, hivi kipindi cha TTCL nazo nguzo zilikuwa zinauzwa?
Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
li
 
Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Kwa Nini Kampuni za Simu hazitu charge gharama za kufunga Mimara.
 
Ni kweli, hata vodacom wanakuuzia huduma ya mawasiliano na bado simu unanunua mwenyewe. Vilevile gesi ya kupikia mtungi unaulipia au siyo?
Hapo hajaelewana. Hao vodacom hawakuchaji ghalama za minara yao. Pamoja na kwamba wanatumia ghalama kubwa sana.
Yeye kauliza nguzo ambazo ni mali ya mtoa huduma, kwa nini alipie mteja?
 
Yote haya alisababisha mama wakati anarithi kiti chake Kwa kulazimisha Tanesco ipandishe bei kutoka 27000 Hadi 321000 ndani ya mita 30 Kwa madai mfu ya kuwa eti hiyo ndiyo bei halisi.kwa Nchi zinazojitambua kama ujerumani na Norway huduma ya umeme Huwa unaungwa Bure na wanaanza kukata kidogokigogo kwenye matumizi Yako ya umeme.mfano kama matumizi Yako Kwa mwezi ni 20000 watakupa umeme wa 15000 Hadi deni linaisha.Nchi zetu zinaongozwa na washamba sana
Huna akili,bei ya 27000 ililetwa na Samia, na nyie mazuzu mkakosoa sana gharama za kuunganishwa umeme ziliposhushwa, na haswa sababu Samia muislam,maana leo tena mshaanza kulalamika eti samia ndo alipandisha bei yakuunganishiwa umeme
 
Alipokufa Magufuli ulishangilia.

Siku nyingine ujifunze waliotakiwa kushangilia ni hayo mafisadi yanauza nguzo laki 5 badala ya wewe kapuku
Wakati wa shetani jiwe gharama zilikuaje mkuu?
Mkuu, hawa jamaa watumia hizi nguzo kama moja ya MAOKOTO yao kwa wale wanaokuja kuunganishiwa umeme kwenye nguzo iliyo nunuliwa na mteja wa kwanza wa the. 500,000/=.
Mi nguzo kwangu mwaka 2010 nililipia milioni na laki tano,na baada ya muda tu wakawaunganishia wengine kupitia nguzo yangu, Taaannesco ni wwzi
 
Huna akili,bei ya 27000 ililetwa na Samia, na nyie mazuzu mkakosoa sana gharama za kuunganishwa umeme ziliposhushwa, na haswa sababu Samia muislam,maana leo tena mshaanza kulalamika eti samia ndo alipandisha bei yakuunganishiwa umeme
Tatizo lako ni uzeee(mzee Makoti) Mimi Samia nampenda lakini kwenye kupandisha bei ya kuunganishwa umeme alitukosea sana watanzania
 
Duh, kweli wabongo mabingwa wa kuhamisha magoli? samia ndiye aliyeleta 27,000? Na kwanini unahisi samia anapingwa kwa dini yake mbona magu kapingwa sana na hao hao wanaompinga samia ndio hao hao wamempiga magu na wengi ni wakristo wale wale. Magu kapingwa hata na wachungaji.
 
Lete ushaidi kama dikteta ndio alishusha bei ya umeme
 
Duh, kweli wabongo mabingwa wa kuhamisha magoli? samia ndiye aliyeleta 27,000? Na kwanini unahisi samia anapingwa kwa dini yake mbona magu kapingwa sana na hao hao wanaompinga samia ndio hao hao wamempiga magu na wengi ni wakristo wale wale. Magu kapingwa hata na wachungaji.
 
Tatizo lako ni uzeee(mzee Makoti) Mimi Samia nampenda lakini kwenye kupandisha bei ya kuunganishwa umeme alitukosea sana watanzania
 
aliyeanzisha huu uzi huenda aliuanzisha too late. mimi najua huu mpango ulikuwepo toka enzi za magu kwa vijiji na nina ushuhudi wa watu ambao nina undugu nao wameweka umeme kwa bei hiyo japo rushwa haikosi lakini gharama nzima hata 80000 haikufika enzi za magu.
 
Shirika linapewa bure hizo nguzo?? Na kama ungependa iwe mali yako kwakuwa unalipia je uko tayari kulipia nguzo mpya kila mara inapotakiwa kubadilishwa?? Vipi kuhusu mita ya umeme nayo si unalipia, uko tayari kulipia kila inapopata hitilafu??
Kwamba nikiweka Bill ya maziwa kwako lazima nimnunue ng'ombe kwanza halafu niendelee kununua maziwa tena?
 
Back
Top Bottom