Chukuwa mfano kidogo tu, unaponunua sukari dukani, mfuko ni juu ya mwenye biashara, anakupa mfuko. Tanesco nao watoe nguzo bure katika huduma zao. Ni unyanyasaji. Kuna sehemu moja "jina kapuni " huu umeme wa REA, tena kijijini wananchi walinunua nguzo.