TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

km kweli ni pigo kubwa kwetu wanaulanga hakika mungu atakuwa ametunyang'anya mama mpambanaji. RIP OUR MP
 
Mama yake Celina Kombani au Celina Kombani huyuhuyu waziri?

Mleta mada toa details basi za kifo hicho ili watu waelewe kabla ya watu kuanza kutoa pole tu za R.I.P bila kujua kwa undani ya mauti yenyewe imemkutaje, wapi na kivipi
 

Habari ya kweli hii?

R.I.P Mama Celina Kombani. Nyuma yake mbele yetu. Mwenyezi Mungu awatie nguvu wote walioguswa na msiba huu.
 
Back
Top Bottom