TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Mana yetu hakika tutakukumbuka mtetezi wetu watumishi wa Umma.

Mungu akupumzishe kwa amani.
 
Picha please maake hata simkumbuki.
Anyway r.i.p
 
Jamani wekeni source ya hii taarifa. Mimi nipo hapa ifakara hizi habari sijazisikia. Ila wiki Jana ilivumishwa sana kuwa huyu mama kafa. Kama ni kweli R.I.P mama Kombani
 
May her soul Rest in peace,alikua anagombea jimbo la ulanga nafikiri.....Wote tu wapitaji hakuna aijuaye kesho...ugonjwa wa mtu sio kifo chake...Mungu ndio muamuzi wa maisha yetu
 
Confirmed death.
Source ITV na mtangazaji ni Jackline Selemu
 
Mama yake Celina Kombani au Celina Kombani huyuhuyu waziri?

Mleta mada toa details basi za kifo hicho ili watu waelewe kabla ya watu kuanza kutoa pole tu za R.I.P bila kujua kwa undani ya mauti yenyewe imemkutaje, wapi na kivipi

kweli kaaga dunia hata ITV wametangaza sasa hivi
 
Back
Top Bottom