TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Habari toka ITV saa mbili usiku.
Mhe Celina Kombani alikuwa pia mgombea Ubunge Ulanga na amefariki Dunia akiwa India kwenye matibabu.
 
Itv waripoti, Waziri Kombani aaga Dunia, huko India...


R.I.P.. Kombani
 
Habari za hivi punde zimeripoti kuwa Aliyekuwa waziri katika wizara mbalimbali katika awamu ya nne ya mh. Kikwete Celina kombani afariki dunia huko India alikokuwa akipatiwa matibabu, taratibu za kusafiri mwili wa marehumu zinafanywa.
 
Mh. Selina Kombani amefariki dunia nchini India. Mungu awape moyo wafiwa. R.I.P. Selina

Source: ITV habari
 
Kumbe taarifa hii ina ukweli...Amefariki akiwa nchini India alikopelekwa kutibiwa. Mwili wake utarudishwa nchini Jumamosi. Source ITV Habari. RIP mama Kombani
 
Back
Top Bottom