TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Weka picha yake, pia alikua mgombea ubunge wa ccm, jimbo nimesahau
 
Habari toka ITV saa mbili usiku.
Mhe Celina Kombani alikuwa pia mgombea Ubunge Ulanga na amefariki Dunia akiwa India kwenye matibabu.

pole sana kwa familia kuondokewa na mpendwa wao
 
Haya safar njema Celina!! Mungu ndo anajua utumishi wako kwake na kama ulimcha kwa dhati!! Sisi twakuombea upunzike panapokustahili
Ameen
 
Back
Top Bottom