Jamesmkude
Member
- May 18, 2015
- 60
- 69
RIP Mama Kombani, utakumbukwa na Wana Ulanga daima!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za hivi punde zimeripoti kuwa Aliyekuwa waziri wa katika wizara mbalimbali katika awamu ya nne ya mh. Kikwete Celina kombani afariki dunia huko India alikokuwa akipatiwa matibabu, taratibu za kusafiri mwili wa marehu zinafanywa.
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha waziri wetu Celina Kombani kilichotokea huko India.. more updates to come
Kwa nini unasema CCM pekee wakati tuko kwenye kampeni za kuchagua serikali mpya?Inasikitisha...pole kwa familia ya marehemu.
Kwa kuws tuko kipindi ambacho siasa hiko juu....ccm watwambie ni lini viongozi wakubwa serikalini watakuwa wakitibiwa hospitali za hpa nchini kwa uratibu mzuri wa kodi zetu...? Hatupendi kusikia wapendwa wetu wakifia ughaibuni....