TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia


Jamani kuna umuhimu sana wa kujenga hospitali nzuri hapa Tanzania..Fikirieni wandugu

kwa ajili ya viongozi au? umeniudhi sana, kwanini usisene kabla huyu hajafa? inamaana Watanzania wakawaida hawana hadhi ya kutibiwa vizuri?
 
R.I.P celina kombani, Mlungu mkulu, alikuwa mbunge wa ulanga magharibi
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi ..Amen! ni majonzi makubwa sana!
 
Jile nakuelwa lkn akifa ndugu jamaa rafiki au adui ni busara kuficha hisia na kumwaga Marehemu kwa kqa heshima huku tukisahau mabaya yote aliyowahi kututendea hata liwe kubwa vipi na kujaribu kukumbuka kila lilozuri hata kama ni dogo
 
Rest In Peace Mama etu.. Umeondok mapema kabla yakushuhudia mabadiliko
 
Pole sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa, roho ya marehemu ipumzike kwa amani Amina
 
Back
Top Bottom