TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un-إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون "Surely we belong to Allah and to Him shall we-...
 
th

Dah huyu hapa Mama Kombani. Inauma sana lakini lazima tukubali matokeo. Mungu ndiye anayejua nani ataamka kesho. Ni muhimu kuombeana afya njema. Poleni watanzania kwa kufiwa na MTANZANIA mwenzetu na Waziri.
 
Dah! RIP mama komban, namwonea huruma sana kaka yako maana ww ndio ulikuwa tegemeo lake
 
Du...aiss hebu tafuta ka-avatar kengine kakutolea rip....maana hapo unatabasamu balaa huku unasema rip...

kwa kweli hapo umeongea lojiki, inabidi watu wawe na tuavata tuwili tuwili kamoja ka mambo mengine na kapili kwa ajili ya rip.
 
Moses Machali atayakumbuka maneno ya huyu mama milele
 
Nipo mahali flani baada ya hii habari kutangazwa sikuamini nilichokisikia kutoka kwa wasikilizaji wa taarifa hii. Eti wanaUKAWA wakashangilia na kupga makofi utadhani walikuwa wanashangilia mpira. Hiviii kweli hii ndo ile Tanzania aliyoicha Mwl Nyerere?? Kwel cc ndo wale watanzania tuliokuwa wamoja?? Hiviii kwel mwaka huu amani atakuwepo kama mtindo ndo huu wakuombeana vifo??? Leo hii watu watashindwa kuwaua wana ccm?? Hiviii UKAWA wakipata madaraka wakawa na nguvu hao wapinzani watakuwa na hali gani?? Si mtawaua na kuwapoteza?? MUNGU ilinde Tanzania tusije tukawa ni watu wakujuta kama mataifa mengine
 
Mama yake Celina Kombani au Celina Kombani huyuhuyu waziri?

Mleta mada toa details basi za kifo hicho ili watu waelewe kabla ya watu kuanza kutoa pole tu za R.I.P bila kujua kwa undani ya mauti yenyewe imemkutaje, wapi na kivipi

ImageUploadedByJamiiForums1443116973.215143.jpg
 
Poleni sana Familia ya Mhe Kombani. Kiukweli kifo kinauma, na kifo haina itikadi za kisiasa.
Mungu amlaze mama yetu mahali pema peponi. tutamkumbukwa kwa yote aliyoyafanya. Sisi sote tutapita katika njia iyo hiyo. R.I.P. Mama.
 
km kweli ni pigo kubwa kwetu wanaulanga hakika mungu atakuwa ametunyang'anya mama mpambanaji. RIP OUR MP

Taarifa hizi ni za kweli. Imetangazwa pia katika taarifa ya habari ya saa mbili Usiku leo kupitia ITV
 
RIP dear one, tutakukumbuka kwa wema wako wote na mabaya yako Mungu mwenyewe akurehemu.

Poleni sana wanafamilia, jamaa na marafiki
 
Back
Top Bottom