TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Imethibitishwa tayari ni Celina Kombani huyuhuyu Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais - Utumishi na aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Ulanga Mashariki(CCM)

Ni kweli amefariki!!
 
Mgombea ubunge wa Ulanga ambaye pia ni waziri wa Utumishi amefariki dunia!

Source: ITV habari saa mbili usiku
 
Taarifa kutoka ITV hivi sasa zinasema Selina Kombani amefariki dunia huko India alikokuwa akifanyawa matibabu. Selina Kombani alikuwa Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM- Ulanga Mashariki
 
Alikuwa ni waziri wa utumishi wa umma katika ofisi ya waziri mkuu rip mama yetu
 
Habari Zilizotufikia Hivi Punde Mh Selina Kombani. Na Mbunge wa ulanga, Amefariki Dunia Nchini India Alipokwenda Kwa Matibabu.

Chanzo: itv Habari.

Poleni wafiwa na Wanaccm Kwa Msiba Mzito.
 
Mungu ailaze roho ya mama yetu mahala pema peponi amen,angalizo mimi ni ukawa ila kwa hili naomba watanzania tuwe pamoja katika kipindi hiki kigumu cha msiba hapa ndio huwa naamini watanzania ni ndugu moja kabisa,poleni familia poleni chama cha mapinduzi
 
Aliekuwa waziri katika serikali ya awamu ya nne Celina Kombani amefariki dunia nchini India akiwa kwenye matibabu.Mwili wake utarudishwa nchini siku ya jumamosi.CHANZOITV habari
 
Back
Top Bottom