TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

Alisema lowasa bora kaondoka asitufie ccm akafie ukawa mungu ni mwenye majibu tuzidi kuaombea ccm mana wao wanaweza kua wazima alafu mungu akawaonesha kua mgonjwa anaweza kupona nyinyi wazima mkafa ashukuriwe mungu

Unataka kusema huyu mama alitamka hiyo kufuru?siamini!
 
Alisema lowasa bora kaondoka asitufie ccm akafie ukawa mungu ni mwenye majibu tuzidi kuaombea ccm mana wao wanaweza kua wazima alafu mungu akawaonesha kua mgonjwa anaweza kupona nyinyi wazima mkafa ashukuriwe mungu

Maneno siyo mazuri. Fikiria kuwa kila mtu atakufa na tusiogogepe kupambana tukiwa hai. Ukiwa ccm au ukawa endelea kushambulia usiogope kufa kwani kifo kipo Ila tarehe, saa , na dakk na seconds hatujui
 
Makafara yao hayo baada ya Kombani atayefuata Msukuma wa Geita au Bulembo wanamtania Munu kafanyia masihara maradhi ya watu
 
Kwa sasa hali ya CC ni mbaya. Kupumuzika lau siku moja kwa ajili ya kumuenzi au kumuaga mwenzao wanaona itawagharimu.
 
Maneno siyo mazuri. Fikiria kuwa kila mtu atakufa na tusiogogepe kupambana tukiwa hai. Ukiwa ccm au ukawa endelea kushambulia usiogope kufa kwani kifo kipo Ila tarehe, saa , na dakk na seconds hatujui

Akiwa hai pia aliropoka juu ya EL. Unataka watu waogope kutaja matusi aliyowahi kuyatoa akitaka umaarufu ndani ya chama chao!
 
[h=3]MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM LEO JIONI[/h]

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ukitelemshwa baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mh. Celina Kombani umewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali . Tutaendelea kuwafahamisha ratiba kila tutapopata taarifa.


Familia ya marehemu, viongozi mbalimbali na wananchi wakisubili mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ulipowasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Aliyeshikwa bega wa tatu kushoto ni Mume wa Marehemu Mzee Kombani.
Msafara wa mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani ukipakiwa kwenye ambulance baada ya kuwasili jioni hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Picha na Emmanuel Massaka.
 
Yani pamoja na fundisho hili bado kahama leo yalikuwa yale yale LOWASA MGONJWA LOWASA MGONJWA Dah! ccm hakuna wanawaza madaraka tu kuyapata kwa njia yoyote

Wakija kuelewa kwamba Mungu ni Mungu watapotea wengi.Kinachoimaliza CCM si Lowassa bali ubaguzi na Chuki.Hii issue ya UKANDA watakuja kuijutia,lazima itawala tu.
 
Si alikuwa na afya njema kabisa kuliko ya Lowassa ! R.I.P mama yetu mpendwa.
 
Afadhali amehamia CDM asijetufia sisi.

Hapa ndipo wanadamu tunatakiwa kukumbuka kua ukiamka salama shukuru Mungu wako na usifanye utani na kazi ya Mungu. Kiukweli maneno hayo yalitamkwa kwa dhihaka kubwa utadhani yeye mtamkaji ana bima ya milele ya pumzi toka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..

Celina.jpg


Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.

She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.

============================

Nyongeza kutoka Magazeti ya leo 25 Sept 2015



Chanzo: Mwananchi


Mama maisha ya kifahari ndani ya CCM yalimfanya akasahau kwamba kuna Mungu. Akaenjoy huko mbinguni basi. Na watoto na ndugu na jamaa mjifunze kauli mbaya kwa mwanadamu mwenzako wakati ukiwa hai zitaenda kutuhukumu kwani hatujui siku wala saa.
 
Back
Top Bottom