Alisema lowasa bora kaondoka asitufie ccm akafie ukawa mungu ni mwenye majibu tuzidi kuaombea ccm mana wao wanaweza kua wazima alafu mungu akawaonesha kua mgonjwa anaweza kupona nyinyi wazima mkafa ashukuriwe mungu
Alisema lowasa bora kaondoka asitufie ccm akafie ukawa mungu ni mwenye majibu tuzidi kuaombea ccm mana wao wanaweza kua wazima alafu mungu akawaonesha kua mgonjwa anaweza kupona nyinyi wazima mkafa ashukuriwe mungu
Maneno siyo mazuri. Fikiria kuwa kila mtu atakufa na tusiogogepe kupambana tukiwa hai. Ukiwa ccm au ukawa endelea kushambulia usiogope kufa kwani kifo kipo Ila tarehe, saa , na dakk na seconds hatujui
Yani pamoja na fundisho hili bado kahama leo yalikuwa yale yale LOWASA MGONJWA LOWASA MGONJWA Dah! ccm hakuna wanawaza madaraka tu kuyapata kwa njia yoyote
Unataka kusema huyu mama alitamka hiyo kufuru?siamini!
Afadhali amehamia CDM asijetufia sisi.
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ulanga East constituency since 2005.
She was the Minister of State in the President's Office for Public Service Management.
============================
Nyongeza kutoka Magazeti ya leo 25 Sept 2015
Chanzo: Mwananchi
Afadhali amehamia CDM asijetufia sisi.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Rest in peace
Utakosa kuona ukawa wakichkua nchi
Anzisha uzi tu utoe dukuduku lako kuliko kufukua makaburi. UnajiaibishaWalimpakia kwenye kirikuaa aisee maccm bhana
We mpuuzi nini.Anzisha uzi tu utoe dukuduku lako kuliko kufukua makaburi. Unajiaibisha