Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
May her soul Rest in peace,alikua anagombea jimbo la ulanga nafikiri.....Wote tu wapitaji hakuna aijuaye kesho...ugonjwa wa mtu sio kifo chake...Mungu ndio muamuzi wa maisha yetu
kweli mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May her soul Rest in peace,alikua anagombea jimbo la ulanga nafikiri.....Wote tu wapitaji hakuna aijuaye kesho...ugonjwa wa mtu sio kifo chake...Mungu ndio muamuzi wa maisha yetu
"Bora Lowassa kaondoka CCM hajatufia aende akafie huko CDM....." By Celina Kombani.
RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.
Nipo mahali flani baada ya hii habari kutangazwa sikuamini nilichokisikia kutoka kwa wasikilizaji wa taarifa hii. Eti wanaUKAWA wakashangilia na kupga makofi utadhani walikuwa wanashangilia mpira. Hiviii kweli hii ndo ile Tanzania aliyoicha Mwl Nyerere?? Kwel cc ndo wale watanzania tuliokuwa wamoja?? Hiviii kwel mwaka huu amani atakuwepo kama mtindo ndo huu wakuombeana vifo??? Leo hii watu watashindwa kuwaua wana ccm?? Hiviii UKAWA wakipata madaraka wakawa na nguvu hao wapinzani watakuwa na hali gani?? Si mtawaua na kuwapoteza?? MUNGU ilinde Tanzania tusije tukawa ni watu wakujuta kama mataifa mengine
Mngekuwa na utu mngekuwa mnamkejeli mzee wa watu?
Muombe mungu sana na wewe usije kuwa mtu ambaye utaanza kuadhibiwa kabla mwili wako haujasitiriwa ndani ya kabri!Kitu cha ajabu sana, Uzi unazungumzia msiba watu wanaingiza na mitazamo yao.
unaweza kupigwa na bumbuwazi ukiambiwa na yeye alikuwa anamnanga LOWASSA kuwa ni mginjwa
Duh..... poleni sana wanandugu na jamaa wa karibu na Marehemu.
Mungu amlaze mahali pema.
Celina Kombani alikuwa mgombea wa CCM, na kwa mujibu wa makada wa CCM hapa jamvini, na wale walioko field, wanasema Watanzania hawapaswi kumchagua LOWASSA kwa sababu LOWASSA ni "mgonjwa"{kwa mujibu wao}, Lakini hawakuwahi kuwaambia wana ULANGA, wasimchague Marehemu Kombani kwa sababu ni mgonjwa na amelazwa INDIA! Mungu sio mjinga kama nyie akina Boko haram huu ni mfano tu amewapa! Msipoweza kujifunza hapa! Hamtajifunza tena!
unafiki tu.mbona kifo cha Mohammed Mtoi hukutoa pole!RIP Celina Kombani.RIP Mungu aiweke Roho yake mahali pema peponi.