Kuna mda mwengine hata katiba na sheria za hapa tanzania zinapitiwa juu kwa juu.
Nimeona ile video wakijitamba wale watoto wengine mambo ya kubeti,wengine kuingia rasmi na mambo kudanga.
Ukiangalia kisheria wale washafikisha umri wa 18.
Na umri ule anauwezo wa kuoa,kuolewa,kufanya kazi na hata kuwapigia vote.
Sasa anacho lalamika waziri kuwabebesha lawama walimu.
View attachment 3697936