DOKEZO Waziri Dkt. Gwajima, fanya yafuatayo ili kuwakomesha wahuni (beach boys) wote katika fukwe zetu za Dar es Salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hahahaha,mkuu kama wewe ni mtu wa kuja beach hasa coco beach usiku utaona jinsi gani ,wakiboresha hayo nisemayo watakavyopata mapato

Pale coco beach, Yusuph Manji alipataka afanye yake, mngempa uone kama asingefanya ile fukwe kuwa ya bata muda wote ,usiku,mchana,asubuhi
 
Umeongea point japo maandishi mareefu km reli ya SGR,
 
Msasani kuna beach mav aka beach kimba

Beach za wenzetu safi bana ...angalau mafia wale wenye hotel pembezoni za beach wanatunza mazingira +usafi

Ova
Beach mavi ni vile waliisahau, but now wamejaribu kuruhusu watu, panavutia kuna pubs kibao tu
 
Dada yangu na mtani wangu wewe ni mwepesi wa kujibu ila kuchukua hatua ndio ngumu, sijui kwani nini wale ni wanawake wenzio, mda mwingine sio kwamba wote wanaoenda pale wanapajua historia za Beach. Kama unaweza lifanyia kazi lifanyieni kazi kwa haraka ila kwa umakini mkubwa pia ila sio kila siku na kila kitu mnakipokea alafu mnaenda kukaa nalo kimya.
 
Usinikumbushe mazuri nliyaona copacabana beach mzee

Ova
 
Hii lazima itaibwa kule kwenye magazeti halafu hawatatoa credit kwako mleta uzi wenye akili nyingi sana na madini adhim

Kongole Mkuu
 
@GENTAMYCINE, Nirudie tena kukushukuru kwa ushirikiano wako. Nimesoma btwn lines. Hapa nahariri action plan ya kujumuisha wadau wote huku nikijumuisha na haya maoni yako. Nikiri, kuna mashiko mazuri kabisa kwenye haya maoni yatakayochangia Hatua zetu na wadau. Hatua ya kwanza, napanga mazungumzo ya haraka na wadau wote tukubaliane twende mbele na utekelezaji wa haraka.

Huu ndiyo umoja wa kijamii. [emoji1241]

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Tupo pamoja kwenye utekelezaji shirikishi

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…