mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kweli beach zetu zina mapungufu mengi sanaHuwa nikitembea tembea ,msasani beach huku huwa naonga mapungufu mengi sana ktk hizi beach zetu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli beach zetu zina mapungufu mengi sanaHuwa nikitembea tembea ,msasani beach huku huwa naonga mapungufu mengi sana ktk hizi beach zetu
Hahahaha,mkuu kama wewe ni mtu wa kuja beach hasa coco beach usiku utaona jinsi gani ,wakiboresha hayo nisemayo watakavyopata mapatoHuko ni misri huku ni bongo nyoso na uwezi jua huko serikali yao inafaidika na Nini na mpaka wanaweka ulinzi labda kuna Kodi wanapata kupitia hapo Sasa huku kwetu serikali inapata Nini kupitia hapo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeongea point japo maandishi mareefu km reli ya SGR,1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrjsha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko
3. Kwa kila atakayejitokeza mlazimisheni awape Picha zake na mjua Makazi yake na taratibu zingine za Kiusalama dhidi yao zifanyike kama njia ya Kuwadhibjti.
4. Kuwe na Chama chao Beach Boys ambacho Kitatambulika nanyi Mamlaka na walazimishenj Wanachama wao (nikimaanisha Vijana wao Wanaofundisha Watu Kuogelea Baharini) wawe ni Watu very Professional na Ethical pia
5. Serikali (Mamlaka) iweke Matangazo katika Beach zote (tena yawe Makubwa) kuwa Mabinti / Wanawake ambao watafanyiwa Ukatili huo wapige Simu upesi kwa Mamlaka zenu ili Wahusika wakamatwe.
6. Himizeni kwa Beach Goers Wote hasa Wanawake / Mabinti kuwa kama wanataka Kufundishwa Kuogelea na Beach Boys basi wawachukue wale ambao ni qualified na kutoka sehemu husika.
7. Beach Boys wote watakaowepo iwe ni AMRI lazima wawe na Vitambulisho na Uniform ili irahisishe hata Kujulikana mapema wakifanya huu Uhuni wao.
8. Katika Beach zote wekeni Eneo Maalum (ndani ya Maji) la Watu Kufundishwa Kuogelea kwani moja ya Mbinu Kubwa itumikayo na hawa Wahuni (Beach Boys) ni kwenda na Wahusika katika Directions ambazo hakuna Watu Wengi na kwenye Kina Kirefu kisha wanafanya huo Uhuni wao.
9. Mkazo uwekwe zaidi kwa Watu Kujifunza Kuogelea katka Vituo Maalum au Shule za Uogeleaji (hasa Swimming Pools) ili basi wakiwa wanaenda Baharini wawe ni Wajuzi na siyo Watafuta kujua Kuogelea ambako hukutana na hawa Wahun
10. Tungeni Adhabu Kali na isiyo na Huruma dhidi yao ili Kulimaliza hili tatizo na kuleta Nidhamu katika hayo Maeneo husika (Beaches)
11. Ili Kuwakamata tumieni huu Mtego wa kuwatafuta Mabinti (Wanawake) Watatu tu ambao wanajua kweli Kuogelea au mkiweza Wachukueni wa pale Navy Kigamboni kisha Wapandikizeni katika kila Beach.
Wakiwa huko Wahimizeni wajifanye hawajui kabisa Kuogelea kisha wavalie Nguo za Kutamanisha na wawe Wanajibebjsha kwa hao Beach Boys.
Wakati mnapanga hili pia mnawapanga Watu (huku nchi Kavu) wakiwa na Camera za Ujasusi wanawachukua ili kuwa na Ushahidi very Vivid ambao hawataweza Kuruka.
Pia hakikisheni mnawatafuta Wavivu na Mitumbwi yao ili wakati mnazifanya hizi Oparesheni nao Wawe wanajifanya kama vile wako Baharini wanaendelea na Shughuli zao za Uvuvi.
Kisha hawa Mabinti / Wanawake ambao mtawapanga Wajirahisi kwa Beach Boys (ambao napendekeza lazima Wawe ni Wajuzi wa Kuogelea hasa) mtawaambia wakishaingia tu kwenye Maji na kupelekwa Maji Marefu na kuanza Kuombwa Ngono au kutaka Kubakwa upesi sana watoe Ishara kwa wale Wavivu mtakaowapanga watakaokuwa Eneo Jirani na kwa Askari wengine ambao mtakuwa mmewapanga huku nchi Kavu.
Mkishawakamata hawa Wachache watataja Mtandao wao Wote na Kutajana (huku mkiruhusu na Sisi Raia tuwatje Adabu kidogo kwa Vipigo vya kishalubela) pale pale Baharini ili kutoa Signal kwa Wenzao wengine kuwa sasa Serikali kwa Kushirikiana na Raia Wema (akina GENTAMYCINE) mmeamua / tumeamua Kuwadhibjti.
Na baada ya hapo tu mnaondoka nao kwenda Polisi ili kuanza taratibu zingine za Kisheria ila naomba Adhabu ya Viboko ama 6 au 12 isikosekane na Kifungo kirefu
12. Na katika Vijiwe vyao vyote hao Beach Boys huko Baharini baada ya Kuwasajili Kisheria kama nilivyoshauri hapo mwanzoni pia himizeni / lazimisheni kila Kijiwe kiwe na Utambulisho wa Namba na Jina Kubwa lililoandikwa
13. Ikiwapendeza himizeni / lazimisheni kila Binti / Mwanamke aendae Kuogelea Baharini aende na Pila / Tairi lake kutoka Kwao / Kwake kwani Wengi Wao wakati Mwingine hujikuta wanajngia Majaribuni hadi Kulalwa kwa Kukosa tu Vifaa hivi.
14. Tangazeni kabisa Binti / Mwanamke ambaye kwa Upumbavu na Uwoga wake bila kusahau Tamaa zake za Mwili akikubaliana na huu Uhuni wa hawa Wahuni Beach Boys na likampata la Kumpata asije Kulaumu Mtu au Serikali
15. Mwisho tengezeni Vipindi Maalum katika Redio na Television vya Kutoa Elimu na Kuonya juu ya Ukatii huu mkubwa huku mkihimiza kila Beach Goer (Mpenda kwenda Kutembea Baharini) awe ni Mlinzi wa Mwenzake pasipo kujali ni Ndugu yako au si Ndugu yako
Ni haya tu Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D nakuomba yafanyie Kazi yote na GENTAMYCINE nakuhakikishia hapa hapa JamiiForums kuwa Tatizo hili utalimaliza na Kuokoa wengi.
Nimekuheshimu sana kwakuwa navutiwa na Utendaji wako mzuri wa Ushirikishaji wa Wadau na nakuahidi kukupa Ushirikiano zaidi kwa Mambo / Masuala mengine ya Kijamii ukihitaji kwani 97% ya Maisha yangu ya kila Siku ni kuwa na Jamii na kuwa na Uwezo mkubwa wa Kuchunguza Jambo, Kulifuatilia, Kulijua, Kulirekodi katika Ubongo wangu, Kulikabili Kifikra na Kimatendo na kutoa Suluhisho la Dharula, la Kati na la Kudumu.
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali kama utakuwa na Zawadi yoyote ile Kwangu GENTAMYCINE (itakayokupendeza) kwa hiki nilichokuandikia hapa basi utakitangaza hapa hapa JamiiForums kisha utaipeleka katika Ofisi za JamiiForums Kawe Avocado na utampa JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya na Kaka Maxence Melo na yeye atajua wapi atanipata na Kuiwasilisha Kwangu kwa Niaba yako.
Na nikutoe Hofu Dada (Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D) hata kama hutonipa Zawadi yoyote ile bado nakuhakikishia nitaendelea kukupa Ushirikiano wangu mkubwa bila Kinyongo na Usununu.
Kila la Kheri Mheshimiwa
Tupo pamoja.
Akhsante.
Wako GENTAMYCINE Nahodha wa Kudumu wa wana JamiiForums wote duniani.
Mengi sanaKweli beach zetu zina mapungufu mengi sana
Ova
Beach mavi ni vile waliisahau, but now wamejaribu kuruhusu watu, panavutia kuna pubs kibao tuMsasani kuna beach mav aka beach kimba
Beach za wenzetu safi bana ...angalau mafia wale wenye hotel pembezoni za beach wanatunza mazingira +usafi
Ova
Dada yangu na mtani wangu wewe ni mwepesi wa kujibu ila kuchukua hatua ndio ngumu, sijui kwani nini wale ni wanawake wenzio, mda mwingine sio kwamba wote wanaoenda pale wanapajua historia za Beach. Kama unaweza lifanyia kazi lifanyieni kazi kwa haraka ila kwa umakini mkubwa pia ila sio kila siku na kila kitu mnakipokea alafu mnaenda kukaa nalo kimya.[emoji847] Ulisema uko bize sana lakini nashukuru umepata muda wa kurejea na maoni yako. Nimeyapokea, nasoma vizuri nione la kufanya kwa kuwa mambo mengi yanauhusiano wa kitimu, yaani "sectoral". Ngoja niratibu, Ili mradi linaenda kwenye jamii, basi wizara yetu ngoja ione jinsi ya kufanyia kazi na utasikia mrejesho. Ubarikiwe Sana.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ukiongeza na ubakaji kiufupi hakufai kwenda huko basi tu watu hawajielewiNi kuchafu kweli hasa msasani ,mie nakaa maeneo ya beach huku msasani/masaki mwisho, ukweli beach zote chafu
Usinikumbushe mazuri nliyaona copacabana beach mzeeHahahaha,mkuu kama wewe ni mtu wa kuja beach hasa coco beach usiku utaona jinsi gani ,wakiboresha hayo nisemayo watakavyopata mapato
Pale coco beach, Yusuph Manji alipataka afanye yake, mngempa uone kama asingefanya ile fukwe kuwa ya bata muda wote ,usiku,mchana,asubuhi
Pub cha mwanzo kilikuwaga kwenye kile kijumba hv watu wameongeza pubBeach mavi ni vile waliisahau, but now wamejaribu kuruhusu watu, panavutia kuna pubs kibao tu
Beach kuna sehemu watu wanakaa,beach kua sehemu watu wanafanya mazoezi pull ups nkMengi sana
Hii lazima itaibwa kule kwenye magazeti halafu hawatatoa credit kwako mleta uzi wenye akili nyingi sana na madini adhim1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrjsha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko
3. Kwa kila atakayejitokeza mlazimisheni awape Picha zake na mjua Makazi yake na taratibu zingine za Kiusalama dhidi yao zifanyike kama njia ya Kuwadhibjti.
4. Kuwe na Chama chao Beach Boys ambacho Kitatambulika nanyi Mamlaka na walazimishenj Wanachama wao (nikimaanisha Vijana wao Wanaofundisha Watu Kuogelea Baharini) wawe ni Watu very Professional na Ethical pia
5. Serikali (Mamlaka) iweke Matangazo katika Beach zote (tena yawe Makubwa) kuwa Mabinti / Wanawake ambao watafanyiwa Ukatili huo wapige Simu upesi kwa Mamlaka zenu ili Wahusika wakamatwe.
6. Himizeni kwa Beach Goers Wote hasa Wanawake / Mabinti kuwa kama wanataka Kufundishwa Kuogelea na Beach Boys basi wawachukue wale ambao ni qualified na kutoka sehemu husika.
7. Beach Boys wote watakaowepo iwe ni AMRI lazima wawe na Vitambulisho na Uniform ili irahisishe hata Kujulikana mapema wakifanya huu Uhuni wao.
8. Katika Beach zote wekeni Eneo Maalum (ndani ya Maji) la Watu Kufundishwa Kuogelea kwani moja ya Mbinu Kubwa itumikayo na hawa Wahuni (Beach Boys) ni kwenda na Wahusika katika Directions ambazo hakuna Watu Wengi na kwenye Kina Kirefu kisha wanafanya huo Uhuni wao.
9. Mkazo uwekwe zaidi kwa Watu Kujifunza Kuogelea katka Vituo Maalum au Shule za Uogeleaji (hasa Swimming Pools) ili basi wakiwa wanaenda Baharini wawe ni Wajuzi na siyo Watafuta kujua Kuogelea ambako hukutana na hawa Wahun
10. Tungeni Adhabu Kali na isiyo na Huruma dhidi yao ili Kulimaliza hili tatizo na kuleta Nidhamu katika hayo Maeneo husika (Beaches)
11. Ili Kuwakamata tumieni huu Mtego wa kuwatafuta Mabinti (Wanawake) Watatu tu ambao wanajua kweli Kuogelea au mkiweza Wachukueni wa pale Navy Kigamboni kisha Wapandikizeni katika kila Beach.
Wakiwa huko Wahimizeni wajifanye hawajui kabisa Kuogelea kisha wavalie Nguo za Kutamanisha na wawe Wanajibebjsha kwa hao Beach Boys.
Wakati mnapanga hili pia mnawapanga Watu (huku nchi Kavu) wakiwa na Camera za Ujasusi wanawachukua ili kuwa na Ushahidi very Vivid ambao hawataweza Kuruka.
Pia hakikisheni mnawatafuta Wavivu na Mitumbwi yao ili wakati mnazifanya hizi Oparesheni nao Wawe wanajifanya kama vile wako Baharini wanaendelea na Shughuli zao za Uvuvi.
Kisha hawa Mabinti / Wanawake ambao mtawapanga Wajirahisi kwa Beach Boys (ambao napendekeza lazima Wawe ni Wajuzi wa Kuogelea hasa) mtawaambia wakishaingia tu kwenye Maji na kupelekwa Maji Marefu na kuanza Kuombwa Ngono au kutaka Kubakwa upesi sana watoe Ishara kwa wale Wavivu mtakaowapanga watakaokuwa Eneo Jirani na kwa Askari wengine ambao mtakuwa mmewapanga huku nchi Kavu.
Mkishawakamata hawa Wachache watataja Mtandao wao Wote na Kutajana (huku mkiruhusu na Sisi Raia tuwatje Adabu kidogo kwa Vipigo vya kishalubela) pale pale Baharini ili kutoa Signal kwa Wenzao wengine kuwa sasa Serikali kwa Kushirikiana na Raia Wema (akina GENTAMYCINE) mmeamua / tumeamua Kuwadhibjti.
Na baada ya hapo tu mnaondoka nao kwenda Polisi ili kuanza taratibu zingine za Kisheria ila naomba Adhabu ya Viboko ama 6 au 12 isikosekane na Kifungo kirefu
12. Na katika Vijiwe vyao vyote hao Beach Boys huko Baharini baada ya Kuwasajili Kisheria kama nilivyoshauri hapo mwanzoni pia himizeni / lazimisheni kila Kijiwe kiwe na Utambulisho wa Namba na Jina Kubwa lililoandikwa
13. Ikiwapendeza himizeni / lazimisheni kila Binti / Mwanamke aendae Kuogelea Baharini aende na Pila / Tairi lake kutoka Kwao / Kwake kwani Wengi Wao wakati Mwingine hujikuta wanajngia Majaribuni hadi Kulalwa kwa Kukosa tu Vifaa hivi.
14. Tangazeni kabisa Binti / Mwanamke ambaye kwa Upumbavu na Uwoga wake bila kusahau Tamaa zake za Mwili akikubaliana na huu Uhuni wa hawa Wahuni Beach Boys na likampata la Kumpata asije Kulaumu Mtu au Serikali
15. Mwisho tengezeni Vipindi Maalum katika Redio na Television vya Kutoa Elimu na Kuonya juu ya Ukatii huu mkubwa huku mkihimiza kila Beach Goer (Mpenda kwenda Kutembea Baharini) awe ni Mlinzi wa Mwenzake pasipo kujali ni Ndugu yako au si Ndugu yako
Ni haya tu Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D nakuomba yafanyie Kazi yote na GENTAMYCINE nakuhakikishia hapa hapa JamiiForums kuwa Tatizo hili utalimaliza na Kuokoa wengi.
Nimekuheshimu sana kwakuwa navutiwa na Utendaji wako mzuri wa Ushirikishaji wa Wadau na nakuahidi kukupa Ushirikiano zaidi kwa Mambo / Masuala mengine ya Kijamii ukihitaji kwani 97% ya Maisha yangu ya kila Siku ni kuwa na Jamii na kuwa na Uwezo mkubwa wa Kuchunguza Jambo, Kulifuatilia, Kulijua, Kulirekodi katika Ubongo wangu, Kulikabili Kifikra na Kimatendo na kutoa Suluhisho la Dharula, la Kati na la Kudumu.
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali kama utakuwa na Zawadi yoyote ile Kwangu GENTAMYCINE (itakayokupendeza) kwa hiki nilichokuandikia hapa basi utakitangaza hapa hapa JamiiForums kisha utaipeleka katika Ofisi za JamiiForums Kawe Avocado na utampa JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya na Kaka Maxence Melo na yeye atajua wapi atanipata na Kuiwasilisha Kwangu kwa Niaba yako.
Na nikutoe Hofu Dada (Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D) hata kama hutonipa Zawadi yoyote ile bado nakuhakikishia nitaendelea kukupa Ushirikiano wangu mkubwa bila Kinyongo na Usununu.
Kila la Kheri Mheshimiwa
Tupo pamoja.
Akhsante.
Wako GENTAMYCINE Nahodha wa Kudumu wa wana JamiiForums wote duniani.
Ata kama wanaliwa uroda kuna kesi ngapi za hao mabeach boys ?mimi sijawahi kusikia kesi kuripotiwa polisiPopoma katika ubora wake...ushauri mzuri kwa kweli dada zetu wanaliwa uroda sana na hawa wajinga.
@GENTAMYCINE, Nirudie tena kukushukuru kwa ushirikiano wako. Nimesoma btwn lines. Hapa nahariri action plan ya kujumuisha wadau wote huku nikijumuisha na haya maoni yako. Nikiri, kuna mashiko mazuri kabisa kwenye haya maoni yatakayochangia Hatua zetu na wadau. Hatua ya kwanza, napanga mazungumzo ya haraka na wadau wote tukubaliane twende mbele na utekelezaji wa haraka.1. Tangaza haraka Kuzuia vile Vijiwe vyote vya Kukodisha Mapira / Matairi ya Kuogelea
2. Kisha amrjsha wanaotaka Kufanya hiyo Biashara Kwanza wajisajili Kwenu (Serikalini) na wekeni Ada / Tozo Kubwa ili kama kuna Watakaojitokeza basi wawe ni Watu Serious na siyo hawa Wahuni walioko
3. Kwa kila atakayejitokeza mlazimisheni awape Picha zake na mjua Makazi yake na taratibu zingine za Kiusalama dhidi yao zifanyike kama njia ya Kuwadhibjti.
4. Kuwe na Chama chao Beach Boys ambacho Kitatambulika nanyi Mamlaka na walazimishenj Wanachama wao (nikimaanisha Vijana wao Wanaofundisha Watu Kuogelea Baharini) wawe ni Watu very Professional na Ethical pia
5. Serikali (Mamlaka) iweke Matangazo katika Beach zote (tena yawe Makubwa) kuwa Mabinti / Wanawake ambao watafanyiwa Ukatili huo wapige Simu upesi kwa Mamlaka zenu ili Wahusika wakamatwe.
6. Himizeni kwa Beach Goers Wote hasa Wanawake / Mabinti kuwa kama wanataka Kufundishwa Kuogelea na Beach Boys basi wawachukue wale ambao ni qualified na kutoka sehemu husika.
7. Beach Boys wote watakaowepo iwe ni AMRI lazima wawe na Vitambulisho na Uniform ili irahisishe hata Kujulikana mapema wakifanya huu Uhuni wao.
8. Katika Beach zote wekeni Eneo Maalum (ndani ya Maji) la Watu Kufundishwa Kuogelea kwani moja ya Mbinu Kubwa itumikayo na hawa Wahuni (Beach Boys) ni kwenda na Wahusika katika Directions ambazo hakuna Watu Wengi na kwenye Kina Kirefu kisha wanafanya huo Uhuni wao.
9. Mkazo uwekwe zaidi kwa Watu Kujifunza Kuogelea katka Vituo Maalum au Shule za Uogeleaji (hasa Swimming Pools) ili basi wakiwa wanaenda Baharini wawe ni Wajuzi na siyo Watafuta kujua Kuogelea ambako hukutana na hawa Wahun
10. Tungeni Adhabu Kali na isiyo na Huruma dhidi yao ili Kulimaliza hili tatizo na kuleta Nidhamu katika hayo Maeneo husika (Beaches)
11. Ili Kuwakamata tumieni huu Mtego wa kuwatafuta Mabinti (Wanawake) Watatu tu ambao wanajua kweli Kuogelea au mkiweza Wachukueni wa pale Navy Kigamboni kisha Wapandikizeni katika kila Beach.
Wakiwa huko Wahimizeni wajifanye hawajui kabisa Kuogelea kisha wavalie Nguo za Kutamanisha na wawe Wanajibebjsha kwa hao Beach Boys.
Wakati mnapanga hili pia mnawapanga Watu (huku nchi Kavu) wakiwa na Camera za Ujasusi wanawachukua ili kuwa na Ushahidi very Vivid ambao hawataweza Kuruka.
Pia hakikisheni mnawatafuta Wavivu na Mitumbwi yao ili wakati mnazifanya hizi Oparesheni nao Wawe wanajifanya kama vile wako Baharini wanaendelea na Shughuli zao za Uvuvi.
Kisha hawa Mabinti / Wanawake ambao mtawapanga Wajirahisi kwa Beach Boys (ambao napendekeza lazima Wawe ni Wajuzi wa Kuogelea hasa) mtawaambia wakishaingia tu kwenye Maji na kupelekwa Maji Marefu na kuanza Kuombwa Ngono au kutaka Kubakwa upesi sana watoe Ishara kwa wale Wavivu mtakaowapanga watakaokuwa Eneo Jirani na kwa Askari wengine ambao mtakuwa mmewapanga huku nchi Kavu.
Mkishawakamata hawa Wachache watataja Mtandao wao Wote na Kutajana (huku mkiruhusu na Sisi Raia tuwatje Adabu kidogo kwa Vipigo vya kishalubela) pale pale Baharini ili kutoa Signal kwa Wenzao wengine kuwa sasa Serikali kwa Kushirikiana na Raia Wema (akina GENTAMYCINE) mmeamua / tumeamua Kuwadhibjti.
Na baada ya hapo tu mnaondoka nao kwenda Polisi ili kuanza taratibu zingine za Kisheria ila naomba Adhabu ya Viboko ama 6 au 12 isikosekane na Kifungo kirefu
12. Na katika Vijiwe vyao vyote hao Beach Boys huko Baharini baada ya Kuwasajili Kisheria kama nilivyoshauri hapo mwanzoni pia himizeni / lazimisheni kila Kijiwe kiwe na Utambulisho wa Namba na Jina Kubwa lililoandikwa
13. Ikiwapendeza himizeni / lazimisheni kila Binti / Mwanamke aendae Kuogelea Baharini aende na Pila / Tairi lake kutoka Kwao / Kwake kwani Wengi Wao wakati Mwingine hujikuta wanajngia Majaribuni hadi Kulalwa kwa Kukosa tu Vifaa hivi.
14. Tangazeni kabisa Binti / Mwanamke ambaye kwa Upumbavu na Uwoga wake bila kusahau Tamaa zake za Mwili akikubaliana na huu Uhuni wa hawa Wahuni Beach Boys na likampata la Kumpata asije Kulaumu Mtu au Serikali
15. Mwisho tengezeni Vipindi Maalum katika Redio na Television vya Kutoa Elimu na Kuonya juu ya Ukatii huu mkubwa huku mkihimiza kila Beach Goer (Mpenda kwenda Kutembea Baharini) awe ni Mlinzi wa Mwenzake pasipo kujali ni Ndugu yako au si Ndugu yako
Ni haya tu Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D nakuomba yafanyie Kazi yote na GENTAMYCINE nakuhakikishia hapa hapa JamiiForums kuwa Tatizo hili utalimaliza na Kuokoa wengi.
Nimekuheshimu sana kwakuwa navutiwa na Utendaji wako mzuri wa Ushirikishaji wa Wadau na nakuahidi kukupa Ushirikiano zaidi kwa Mambo / Masuala mengine ya Kijamii ukihitaji kwani 97% ya Maisha yangu ya kila Siku ni kuwa na Jamii na kuwa na Uwezo mkubwa wa Kuchunguza Jambo, Kulifuatilia, Kulijua, Kulirekodi katika Ubongo wangu, Kulikabili Kifikra na Kimatendo na kutoa Suluhisho la Dharula, la Kati na la Kudumu.
Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D tafadhali kama utakuwa na Zawadi yoyote ile Kwangu GENTAMYCINE (itakayokupendeza) kwa hiki nilichokuandikia hapa basi utakitangaza hapa hapa JamiiForums kisha utaipeleka katika Ofisi za JamiiForums Kawe Avocado na utampa JamiiForums Founder Mtani wangu wa Kihaya na Kaka Maxence Melo na yeye atajua wapi atanipata na Kuiwasilisha Kwangu kwa Niaba yako.
Na nikutoe Hofu Dada (Mheshimiwa Waziri Dkt. Gwajima D) hata kama hutonipa Zawadi yoyote ile bado nakuhakikishia nitaendelea kukupa Ushirikiano wangu mkubwa bila Kinyongo na Usununu.
Kila la Kheri Mheshimiwa
Tupo pamoja.
Akhsante.
Wako GENTAMYCINE Nahodha wa Kudumu wa wana JamiiForums wote duniani.
Bila shaka ni muhayaUmeanza vizzzuuuuurri, alaf mwishoni sasa ukarudi to factory settings kwa kujipamba..
Haya bana popoma. Amekuskia
Sisi hapa Mimi na ww kwa maana ya jamii [emoji1666][emoji1241]Ushauri mzuri sanaaaa. Tatizo nani wa kutekeleza
Tupo pamoja kwenye utekelezaji shirikishiMh kwanza safi kwa kua active lakini kwakweli inakupaswa hili ulichukulie serious, miaka mingi huo mchezo upo na watu wanaambukizwa magonjwa na kuzalilishwa pale coco beach.
Usione huruma katika hili ukipuuza inaweza siku ikatokea hata kwenye ukoo au familia yako.
Hakuna anayependa haya hakikaKazi kwake sasa ushamtafunia
Wakishindwa hapa basi kuna watu hiyo hali hapo wanaipenda iendele
Kuwepo
Ova