MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Mheshimiwa huyu Faiza mpuuze amejaa udini. Sisi wananchi tunaziona kazi zako wala hazijifichi. Nakupongeza mnoYaani huyu FaizaFoxy yy ana lake tu lingine na mimi. Ni fumbo la Imani. Wenzake wote wataona ila yy hapana. Ni kama ile Hadith ya wale 99 mmoja amepotea. Abarikiwe tu. Nishamzoea kama wengine walivyomzoea. Kaziiendelee...
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Yaani hoja ikiwa wazi huonekana tu. Ila Kila mtu pia akubali kuelimishwa kuwa, hoja hii jibu lake hili. Yaani atulie pia kupokea mrejesho. Siyo ukishaleta hoja, na majibu una draft mwenyewe halafu unataka yaje yame fit draft yako. Wako wengi wakiambiwa hapana hili liko hivi, anagoma kwa Sababu tu alitaka ionekane hakuna kitu Bure kabisa. Sawa hatuendi hivyo [emoji28]Tatizo la huyu bibi ni udini, ungekuwa dini yake ungepewa kila aina ya sifa.
Labda noseme kidogo;.Ukiwa KIONGOZI ni vyema ukajifunza kuyasikia usiyotaka kuyasikia.
Ukosoaji wa FaizaFoxy japo uko very harsh lakini ukiukubali inaweza kukusaidia kufanya kitu.
pokea sifa pokea na ukodoaji.
mimi binafsibnakushukuru kuna vitu kadhaa niliwasilisha kwako uli respond vizuri...asante kwa hayo.
pia siachi kukishauri uongeze bidii kwa ubunifu kuifanya jamii yetu kuwa bora..
Asante
Huyo mleta mada eeh?Pia ni Mental Case huyo Siku nyingi.
Inawezekana unaumia sana kuona Waziri mwenye heshima zake anajipa muda wa kupita humu na kujadili kwa uwazi hoja za sekta anazosimamia.Kazi hizi za majukwaani, anaziweza sana. Hilo nampa maua yake.
Hizo mimi huziita kazi za zima moto.
Inawezekana unaumia sana kuona Waziri mwenye heshima zake anajipa muda wa kupita humu na kujadili kwa uwazi hoja za sekta anazosimamia.
At least tuna mtu wa kumpa maoni yetu na anasikiliza. Ndivyo uungwana wake unastahili maua
Genta akili kubwaHuyo mleta mada eeh?
Wengi wansema hivyo. Si wewe tu.
Usidanganye ambao hawakuwa kwenye huo mjadala. Mm huwa hapa ndiyo nakataa. Nilikuambia kuwa, rejea plan fulani ukaikuta ilikuwa inaisha Juni 2022, haina maana kwamba yote yaliyomo mle hayatakelezwi yaani tumefunga. HAPANA. Utekelezaji huwa unaendelea Hadi izinduliwe ingine rasmi. Na uliporudi, nikakuelimisha kuwa, tathmini imefanyika na picha nikakupa za lini kulikuwa na kikao cha hiyo tathmini, na kwamba tunatarajia kwenye hizi siku 16 za kupinga ukatili zinazoanza Novemba 25 mwaka 2023 tuzindue, na tufunge rasmi mpango uliopita. Ww hutaki unataka lako tu. Huo siyo mjadala ni vurugu.Bila hata kumtunishia misuli, nilimpa ushauri wa kiufundi tu, nikafungiwa kwenye ile ost nisimjibu. Aseme yeye tu.
Watanzania kuna kulindana kama kawaida, itakuwa moderator na huyu binti wametokea mkoa mmoja.
Kwanza hana ubavu wa kushindana kwa hoja za kiufundi na mimi. Namuona anapiga porojo za kisiasa tu.
Waziri gani ambae hana plan ya kuendesha wizara yeke? Fikiri hapo tu.
Nilimuuliza akaniletea sera ya waziri mkuu iliyyopitwa na wakati. Kumbana hapo kidogo, akajidai inafanyiwa marekebisho. Sasa kama inafanyiwa marekebishoi aliileta ya nini kutaka kutudanganya? Fikiri hapo tu.
Haya ya coco beach hayaanzii coco beach, ni ukosefu wa maadili kwenye jamii na waziri hana plan kabisa ya kukabiliana nayo.
Tulimsikia mpaka Mwakyembe akija na ma NGO kibao yanayoongoza kwa kusambaza ushoga, mlimsikia huyu waziri akija na plan ya kuyashughilikia hayo? Maaawe.
Yeye hapendi, na mimi napenda. Hapo sasa ndiyo mtihani... [emoji1]Inawezekana unaumia sana kuona Waziri mwenye heshima zake anajipa muda wa kupita humu na kujadili kwa uwazi hoja za sekta anazosimamia.
At least tuna mtu wa kumpa maoni yetu na anasikiliza. Ndivyo uungwana wake unastahili maua
Kwani nani kakwambia hawajui wanajua sana na wanafuata wenyewe kwenda kupigwa miti kwenye maji alafu wanaambiana na wengine wanaenda wakienda mchezo unaendelea hivyo,Wasichana na wanawake waache kuogelea kama hawajui, kwanza fukwe zenyewe chafu
Ahsante Sana, na mm nimeshampuuza mazima, na nitaleta taarifa za wizara kwa wingi wingi Ili jamii izidi kuelewa, halafu yeye sasa ndiyo hivyo tena atabaki na mzigo wake aliojichagulia.... [emoji28]Mheshimiwa huyu Faiza mpuuze amejaa udini. Sisi wananchi tunaziona kazi zako wala hazijifichi. Nakupongeza mno
Wewe mpuuzi ungekaa kimya. Pumbavu sanaHio mada yako Haina mashiko lete mada za.maana zinazoleta tija kwa jamii na nchi kuna umuhimu gani wa kwenda kuogelea huko baharini serikali kuna Kodi wanazopata huko? Au watu wakienda kuogelea wanalipa leseni halimashauri?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bibi acha uchawi kwenye ishu za kitaifa.Una haki na maoni yako.
Nimefahamu kuwa upeo wako umeishia kwenye misemo ya khanga.
Ahsante Sana, na mm nimeshampuuza mazima, na nitaleta taarifa za wizara kwa wingi wingi Ili jamii izidi kuelewa, halafu yeye sasa ndiyo hivyo tena atabaki na mzigo wake aliojichagulia.... [emoji28]
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Yes hii ni zima moto, hata Israel kule Gaza wanafanya zima moto.Kazi hizi za majukwaani, anaziweza sana. Hilo nampa maua yake.
Hizo mimi huziita kazi za zima moto.
Utamfanya mtani GENTAMYCINEAlafu ujue huyu GENTAMYCINE anaupiga mwingi kuliko wale kina mwashambwa na wenzake wa hovyo....
Ahh acha avimbe karismatiki fela gemu chenja sio mchezo kuna muda zinachaji vizuri sanaUtamfanya mtani GENTAMYCINE
Avimbe afe kabisa😂😂
Inatakiwa uwe na mikakati kwanza kabisa.Yes hii ni zima moto, hata Israel kule Gaza wanafanya zima moto.
Kama kiongozi unapaswa kuzima moto...ndipo uje na mikakati ya muda mfupi, wa kati na muda mrefu wa kuzuia moto usiwake tena.
Una hoja nyingine bi kidude?
Wewe mpuuzi huna ubavu wa kumjibu waziri wa nchi jinsi ulivyozoea kujibu kipumbavu pumbavu. Wewe una tofauti gani na magaidi kama hapa JF watu wanaandika comment kistaarabu ila wewe peke yako bila aibu unamrushia waziri maneno ya karaha? Wewe bibi ni mchawi na una roho mbaya sana. Nakuhakikishia kwenye hii serikali imara ya Tanzania utaishia tu kuteseka na roho yako mbaya.Ningekujibu lakini unalindwa na moderators.
Kwangu mimi wewe huna jipya. Kazime moto coco beach.