Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Tanzania lugha yetu ya taifa ni kiswahili lkn somo la kiswahili ni issueUingereza wanaongea kiingereza lakini bado sheria ni moja ya fani ngumu kuielewa.
Hana mvuto huyu waziri. Alipe kwanza madeni yake makubwa ya fedha kwa wananchi. Eti naye dokta! Hovyooo.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili...
Ukiulizwa "oh mie mpinzani".Hana mvuto huyu waziri. Alipe kwanza madeni yake makubwa ya fedha kwa wananchi. Eti naye dokta! Hovyooo.
kinacho takiwa hapa ni kurahisisha watu kuelewa haki zao kwa kutumia lugha yao ya kiswahili,Ni wazo zuri ila kusema sheria ziandikwe kwa kiswahili ili watanzania waweze kuelewa hapa nadhani mheshimiwa hajaelezwa vyema.
Kujua lugha fulani sio kujua sheria, sheria ni zaidi ya hapo.
Uingereza wanaongea kiingereza lakini bado sheria ni moja ya fani ngumu kuielewa.
Mfano wapili, Katiba yetu ipo kwa lugha ya kiswahili lakini watanzania hawajui hata haki zao zilizopo kwenye katiba.
Wazo zuri ila halitatibu tatizo. Tatizo lipo nje ya lugha ya kiingereza inayotumika kwenye mambo ya kisheria nchini.
Sheria ya ardhi inayo nakala ya kiswahili lakini bado migogoro inaongezeka vile vile sheria za mirathi na kanuni ya adhabu.
Makaratasi yoote ya kupigia kura yalichapishwa kwa kiswahili lakini mliiba kura!!!kinacho takiwa hapa ni kurahisisha watu kuelewa haki zao kwa kutumia lugha yao ya kiswahili,
mfano. Hukumu inayo tolewa mahakamani imeandikwa kwa kiingereza halafu unapewa, mimi sijui kiingereza lazima nitafute mtu kwanza anitafsirie ili nielewe kilicho andikwa....lkn kama ingeandikwa kwa kiswahili ningejisomea mwenyewe na kuelewa neno kwa neno.
hivyo suala hapa kwanza ni uelewa sio ujuzi, ujuzi wa sheria utabaki kwa wanasheria wenyewe...tunacho taka ni wananchi kwanza waelewe kilicho andikwa hiyo ndio haki yao ya msingi.