LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Waziri mzigo pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wetu hata Kiswahili cha kuongea tu hawajui au kinawapa shida kuelewa pamoja na kuwa wana PhD kama huyo Waziri mpaka wengine wanashindwa hata kusoma Kiapo kilichoandikwa na mtu asiye mwanasheria.Makaratasi yoote ya kupigia kura yalichapishwa kwa kiswahili lakini mliiba kura!!!
Wstawala wanatumia kiswahili kubambikizia kesi feki wananchi wasio na hatia....
Yaaani watanzania tunapenda kujitekenya ,kwanini mpaka leo mmeshindwa elimu yetu kuanzia kid a to cha kwanza na kuendelea mmeshindwa kuitoa kwa lugha ya kingereza? Mnajifanya ni wazalendo wa lugha ya kiswahili bila kujua kwanini kingereza mnaendelea kukitumia katika taaluma zenu zote.Tusidanganyane kingereza kwa nchi kama yetu kinahitajika zaidi kuliko kiswahili kwa kuwa hakuna hata kimoja cha kwenu mnachotengeneza wala kubuni.Tatizo baadhi ya watanzania wanajivunia sana kiingereza utadhani lugha ya mama lkn kumbe ni ulimbukeni tu umemjaa kichwani. mpaka leo bado wengi wao wanadhani weledi wa mtu unapomwa kwa kujua kuongea au kuandika kizungu!!! huu ni utumwa uliopo kichwani, tuheshimu lugha yetu ya kiswahili hii ndio lugha yetu na inapaswa itumiwe kila mahala ktk taifa letu...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, kutafuta wataalamu mara moja wenye uwezo wa kutafsiri sheria zote za nchi kwa lugha ya Kiswahili...
kinacho takiwa hapa ni kurahisisha watu kuelewa haki zao kwa kutumia lugha yao ya kiswahili,...
Mkuu kiswahili tunachokiongea hatujakipatia darasani,hata hicho kiingereza kinachozungumzwa sasa hivi sehemu kubwa ni tofauti na kiingereza kilichozungumzwa zamani.Hamjui lugha acheni visingizio! Hata kiswahili tu hamjui, utasikia "miladi" " laisi" "bizaa", "mirasi". Suluhisho ni kutoa elimu bora na Watanzania wapende kujifunza na kutafuta maarifa.
Suala la uhuru ni jambo lengine na hili linalozungumzwa hapa ni jambo lengine,jifunze kuweka kila kitu mahala pake kama ulivyofanya wakati wa uchaguzi uliacha kupiga kelele za corona na kujikita kwenye uchaguzi na kusifia nyomi.Angehimiza Uhuru wa mhimili huu angekuwa ametenda haki zaidi
Tokea tuanze kutumia hicho kiingereza kufundishia mbona bado hicho kiingereza chenyewe hatujui japo mitihani watu wanafaulu vizuri ila kiingereza kama lugha hatujui hadi leo?Yaaani watanzania tunapenda kujitekenya ,kwanini mpaka leo mmeshindwa elimu yetu kuanzia kid a to cha kwanza na kuendelea mmeshindwa kuitoa kwa lugha ya kingereza? Mnajifanya ni wazalendo wa lugha ya kiswahili bila kujua kwanini kingereza mnaendelea kukitumia katika taaluma zenu zote.Tusidanganyane kingereza kwa nchi kama yetu kinahitajika zaidi kuliko kiswahili kwa kuwa hakuna hata kimoja cha kwenu mnachotengeneza wala kubuni.
unatumia lugha ya kiingereza kwenye sheria kwa faida ya nani? wazungu ? au waswahili?Yaaani watanzania tunapenda kujitekenya ,kwanini mpaka leo mmeshindwa elimu yetu kuanzia kid a to cha kwanza na kuendelea mmeshindwa kuitoa kwa lugha ya kingereza? Mnajifanya ni wazalendo wa lugha ya kiswahili bila kujua kwanini kingereza mnaendelea kukitumia katika taaluma zenu zote.Tusidanganyane kingereza kwa nchi kama yetu kinahitajika zaidi kuliko kiswahili kwa kuwa hakuna hata kimoja cha kwenu mnachotengeneza wala kubuni.
swali unalo paswa kujiuliza ni je? hayo yote unayafanya kwa masilahi ya nani? hadi ung'ang'anie kuandika kiingereza wakati muhusika unaye mwandikia ni mswahili mwezako!! kwa nini usimwandikie documenti kwa lugha yake anayo ielewa? kuandika kwa kiswahili kwa mahakama zote kuazia mwanzo, wilaya mpaka makao makuu kutapelekea kurahisisha haki ya mteja kueleweka na kupatikana kwa wakatiKwani mkuu unafikiri watu hawazijui hukumu zao?
Wakati wa mwenendo zinatumika lugha mbili kiingereza na kiswahili hadi hukumu inatolewa waheshimiwa mahakimu na majaji huwa wanawafafanulia vema wahusika maamuzi....
swali unalo paswa kujiuliza ni je? hayo yote unayafanya kwa masilahi ya nani? hadi ung'ang'anie kuandika kiingereza wakati muhusika unaye mwandikia ni mswahili mwezako!! kwa nini usimwandikie documenti kwa lugha yake anayo ielewa? kuandika kwa kiswahili kwa mahakama zote kuazia mwanzo, wilaya mpaka makao makuu kutapelekea kurahisisha haki ya mteja kueleweka na kupatikana kwa wakati