Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,238
- 31,190
[emoji817][emoji3581]Sheria inekaa sana Poa hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji817][emoji3581]Sheria inekaa sana Poa hii!
safi sana..umesoma mpaka la ngapi?Mwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hatamkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.
Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.
Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.
Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.
Fanya mpango upite naye 😁😁😁Na yeye si anamke lakini...
Mbunye iko poa zaidi hata mbususuHili neno Mbususu nalikubali sana yani linaifunika neno papuchi vibaya sana. Halafu hizi mada zenye mrengo wa tasnia ya ngono ziko poa sana na zinasisimua. Mleta mada big up mwanangu.
Naam....maana ukiingilia utafungwa kwa kosa la kuharibu faragha za watu na shahidi atakuwa mkeo.Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Siku hata masai na utamaduni wao hawakubali kushea mbususu.Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Nakazia. Mimi sijaiona hiyo video.
Pale ambapo unapata sababu nyingine ya kuwaambia ndugu kwanini huwowiNimemsikiliza vizuri,amesema hivi wale ambao mnakaa na wanawake bila ndoa au mtu ana hawara lakini hakai nae halafu asikie hawara yupo Gest na mtu,huyo hana haki ya kumfumania mtu
Ila kama unataka kwenda kufumania hakikisha una cheti halali cha ndoa,Sio mtu ni demu au hawara yako kaamua kuachana na wewe au hata kama bado mpo nae halafu kaenda faragha na mtu mwingine wewe unatafuta watu mkafanye fumanizi,huna haki hio.
Unataka kwenda kufumania hakikisha una Cheti halali cha ndoa mkononi
Hata hivyo,ukifumania usijchukulie sheria mkononi
Ukweli mchungu.. Watu wanajifasahaulishaga hili.Mwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hatamkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.