Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Mwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hata mkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.

Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.

Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.

Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.
 
Hii ndio aina ya mawaziri tulionao awamu ya mama wanaponyokwa tu vitu vya mbeya hawajui hata Sheria na katiba vinasemaje ktk mafumanizi ya mke au mume wa mtu.
Mama anaupiga mwingi
 
Huyu waziri kalewa madaraka,aliongea haya akiwa wapi?Hivi haoni aibu kwa wizara anayoongoza na idara zake inavyoboronga?Siyo POLISI,Zimàmoto ama Magereza? Ufanisi wao ungekuwa kipaumbele vya waziri lakini mafumanzi!
Too low for Internal Affairs Minister.
Unatoa hukumu bila ya kujiridisha ameongea nini. Tafuta usikilize ndiyo uchangie
 
Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
jamani tafuteni hiyo picha sio mume wake kwani mwanamke anamkataa kabisa ingawa aliyefumaniwa anamuita Baba Brian, huenda ni kimada ambaye wameachana miaka sasa jamaa hakukubali akatega mtego, ambao sasa POLISI wanasema si halali, clip ipo sema Admini na maadili ya JF
msihukumu msiyoyajua, HAWARA HAFUMANIWI
 
Hii inakwenda sambamba na wale wanaofumania watu,kisha wanaandaa mabaunsa wamtatue malinda mgoni.
Hii utafungwa miaka 30 kama umesimama kisa kufanya maamuzi kwa hisia.

Ni bora umroge mtu kama kakuumiza sana,ama achana na huyo mke/mpenzi aliyeliwa.
 
Akamuulize yule balozi wa nyumba mia aliyeleta uzi wa malalamiko hapa kuwa mke wake ni waziri sasa amezingua harudi nyumbani na hapokei simu ananyanduana na bosi wake
 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Gorgeous simbachawene amewanya wale wanaokusanyika ama kuandaa mafumanizi kuwa Hilo ni Jambo lililo kinyume Cha sheria hivyo ukifanya hivyo utakamatwa .

Amedai watu waachwe maana hizo ni faragha zao,.

Chanzo:
mwananchi online.

Tuongee kikubwa ,kumbe sheria ya faragha inaruhusu hadi kunyandua mbususu za wake za watu??

IMG-20210806-WA0065.jpg
 
Mwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hatamkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.

Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.

Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.

Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.
GREAT POST
 
Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Kwann umsumbue aliyetunukiwa mbususu na mkeo kwa hiari ya moyo wa Safi wa mkeo??

Au kwann umsumbue mkeo wakati ameamua kubadili ladha kwa utashi wake? Waziri yupo sawa sana
 
Haifai kuombeana mabaya, lakini kwa waziri huyu yakimkuta atatamani abadili hii sheria! Ngoja yamkute!!
Kama wamekubalia yaani si rape, hakuna uhalali wa kwenda kufumania. Ni watu wazima wamekubaliana na wanafanya mambo yao faragha, haijalishi 'muibiwa' anaumia kiasi gani.
Kwenye mahusiano ukijifanya unamuamini mwenza wako kwa asilimia zote kwa kuwa tu amefanikiwa kukuamisha unaweza kuua au kujiua, lazima ujue wenza hu cheat nawe linaweza kukuta wakati wowote.
 
Huyu waziri kalewa madaraka,aliongea haya akiwa wapi?Hivi haoni aibu kwa wizara anayoongoza na idara zake inavyoboronga?Siyo POLISI,Zimàmoto ama Magereza? Ufanisi wao ungekuwa kipaumbele vya waziri lakini mafumanzi!
Too low for Internal Affairs Minister.
Yuko sahihi kuliongelea hilo kwa sasa,kuna video inatembea ya mwanamama kafumaniwa na mumewe,jamaa kamdhalilisha sana.
 
Hili neno Mbususu nalikubali sana yani linaifunika neno papuchi vibaya sana. Halafu hizi mada zenye mrengo wa tasnia ya ngono ziko poa sana na zinasisimua. Mleta mada big up mwanangu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwa neno lingine amehalalisha nyie kuleni tu vinono hamna suala la kufumaniwa🐒
 
Back
Top Bottom