The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hata mkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.
Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.
Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.
Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.