Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

Mfano nimemtongoza mkeo barabarani lakini mimi aliniambia hana mtu then tukakubaliana kupeana mema,mimi kosa langu ni lipi hapo?
 
Haifai kuombeana mabaya, lakini kwa waziri huyu yakimkuta atatamani abadili hii sheria! Ngoja yamkute!!
Hahaha, hivi unamfahamu Simba...nje ya uwanja wa siasa?

Ukimkuta kwny ile baa yake kubwa pale Dodoma na washkaji zake hutoamini ni yeye

Pombe na fegi kwa sana
 
Kipigo kilikuwa si cha kitoto.. Lakini itakuwaje ikithibitika mwanamke alichepuka?

Hahahaaa sasa ,mbona wakati wanatembezewa kichapo jamaa alikuwa anasema nakupa hela unaenda kumfungulia duka mario? Naye Mario akawa anawaambia Ngoja niseme ukweli.....Na wamebahatika kuwa na watoto wawili ,kwa sie wenye kuona mbali inaonyesha ni kwamba Mwanamke alitafuta Mario akaanza kuchepuka na kuanza kumletea dharau Mme wake na akamuacha mmewe wakati mmewe kashamfungulia biashara.
 
Kwanza kuita kundi la watu kwenda kufumania mwanamke inaonyesha mwanaume hajiamini km angejiamini angeenda peke yake,ndo maana mwanamke kamkimbia sababu Ni mwanaume suruali
 
Ngoja uibiwe mkeo/demu wako ndio utaujua vizuri utamu wa hiyo sheria.
Sasa jamaa yangu mkeo ni kopo au ni mtu !? Hadi unaona anafikia hatua ya kutiwa nje ya ndoa huyo si mke na eala hunanhayja ya kugombana na mtiaji hilo ni tatizo na umalaya wa mkeo maanabhuwezi jua pengine alijitambulisha kwa mtiaji kwamba hananmume wala mtoto , sasa unagombana na mtiaji wa nini?
 
Afadhali umefafanua, maana kwa hii mada jinsi ilivyoandikwa hapa... Watu wangeanza kunsaka mke wa waziri ili watafune mbususu!! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji3][emoji3]
 
Hata kama ni mke au mume wako kuandaa fumanizi ni tabia za kipuuzi na za kisokwe.
Huwezi kumpangia binadamu uchi wake ampe nani au asimpe nani. Kila binadamu mwenye akili timamu anapaswa kuwa huru kabisa na mwili wake.
 
Uko sahihi mkuu, kuandaa fumanizi ni ufidhuli mkubwa sana.
 
Hata wewe huna mamlaka ya kuingilia faragha za mke wako au mchepuko wako. Mchepuko wako pia huna haki za kutoingiliwa faragha zake na wewe.
 
Nakupinga, ni ushamba kupanga kufumania
Hivi una mke? Au unaishi na mwanamke bila cheti cha ndoa?
Iko hivi haya mambo yatakwisha endapo tu kama mwanamke amekuchoka akaamua kujiondoa ndoani na kuondoka kwako kisheria na kwenda huko anakoona yeye kunamfaa, huyo akiliwa mbususu na hata kama akiliwa mwili wote na usibakie hakuna shida, lakini kama eti amekuchoka na bado yupo kwako, unamhudumia kwa kila kitu then atoe mbususu nje aisee! Mafumanizi hayatakwisha, watu watauana kwa sana, wagoni wengine watashikishwa ukuta, na vipigo watapokea tu.
Hii kauli ya huyo Waziri inaitumbukiza Tanzania kuwa taifa la kishenzi kuwahi kutokea duniani. Maana ikiwa hakuna kuingilia faragha basi kumbuka wazinzi watautumia mwanya huo kula mbususu mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…