Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,735
Nakupinga, ni ushamba kupanga kufumaniaHaifai kuombeana mabaya, lakini kwa waziri huyu yakimkuta atatamani abadili hii sheria! Ngoja yamkute!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupinga, ni ushamba kupanga kufumaniaHaifai kuombeana mabaya, lakini kwa waziri huyu yakimkuta atatamani abadili hii sheria! Ngoja yamkute!!
Mfano nimemtongoza mkeo barabarani lakini mimi aliniambia hana mtu then tukakubaliana kupeana mema,mimi kosa langu ni lipi hapo?Naamini Huyu jamaa ana Mke...namshauri awe makini asije kuwa kama Kangi aliekaa hapo akaanza kujisahau....Hili jambo la mtu kuchukua mkeo ukimkuta umchekee?? Hivi wewe simbachawene ukikuta mtu na mkeo unafanyaje?? Sasa utawashtaki na sheria gani.??
Nchi ina mambo ya ajabu hii..
Huyo sio mke tena, ni malaya.Kwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Hahaha, hivi unamfahamu Simba...nje ya uwanja wa siasa?Haifai kuombeana mabaya, lakini kwa waziri huyu yakimkuta atatamani abadili hii sheria! Ngoja yamkute!!
Na hiyo ndio adabuKwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
NdioHivi Buji nilikumia eeh
Kipigo kilikuwa si cha kitoto.. Lakini itakuwaje ikithibitika mwanamke alichepuka?
Tembea na cheti cha ndoa ndio ufumanieKwa hyo ukikuta mke wako ananyanduliwa home inabid urudi ulipotoka hadi wamalize!!!??
Sasa jamaa yangu mkeo ni kopo au ni mtu !? Hadi unaona anafikia hatua ya kutiwa nje ya ndoa huyo si mke na eala hunanhayja ya kugombana na mtiaji hilo ni tatizo na umalaya wa mkeo maanabhuwezi jua pengine alijitambulisha kwa mtiaji kwamba hananmume wala mtoto , sasa unagombana na mtiaji wa nini?Ngoja uibiwe mkeo/demu wako ndio utaujua vizuri utamu wa hiyo sheria.
[emoji3][emoji3]Afadhali umefafanua, maana kwa hii mada jinsi ilivyoandikwa hapa... Watu wangeanza kunsaka mke wa waziri ili watafune mbususu!! [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Uongozi wa sasa ni kumgandamiza MTU ili uonekane unafanya kazi
Hata kama ni mke au mume wako kuandaa fumanizi ni tabia za kipuuzi na za kisokwe.Nimemsikiliza vizuri,amesema hivi wale ambao mnakaa na wanawake bila ndoa au mtu ana hawara lakini hakai nae halafu asikie hawara yupo Gest na mtu,huyo hana haki ya kumfumania mtu
Ila kama unataka kwenda kufumania hakikisha una cheti halali cha ndoa,Sio mtu ni demu au hawara yako kaamua kuachana na wewe au hata kama bado mpo nae halafu kaenda faragha na mtu mwingine wewe unatafuta watu mkafanye fumanizi,huna haki hio.
Unataka kwenda kufumania hakikisha una Cheti halali cha ndoa mkononi
Hata hivyo,ukifumania usijchukulie sheria mkononi
Mwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hatamkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.
Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.
Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.
Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.
Waziri anatoa wapi Mamlaka ya Kutupangia Masuala yetu ya Faragha za Wapenzi wetu? Sisi huwa tunayaingilia ya Kwake?
Anakoelekea sasa huyu Waziri ni kutaka kutuambia kuwa Wanaume wanaowafanya Wapenzi wao Mabao mengi wayapunguze kwani wanazitesa 'Mbinye' zao.
Kama leo hii Tanzania imefikia kuwa na Waziri anayepoteza muda na Mambo ya Faragha za Kimapenzi za Watu huku akiyaacha au akishindwa 'Kudili' na Mambo makubwa na ya Kimsingi kabisa basi ni Hatari na huenda hiyo 'docket' husika ikawa imepata Waziri 'bogus' kuwahi kutokea hapo.
Yaani kabisa GENTAMYCINE nikufumanie 'unabanduliwa' halafu nisiiharibu kabisa 'reception' yako kwa Vichwa vyangu vya Meddie Kagere 'nimerogwa' au?
Tena hili Tamko la Waziri ndiyo limenipandisha Hasira kuna Mtu mpaka sasa hivi hajarudi na akirudi tu najua Kesho atahangaika kutafuta Hospitali ili akanunue Meno yake ya Bandia kwani aliyonayo ya Asilii naenda 'Kusepa' nayo mazima Usiku huu huu Kudadadeki.
Hivi una mke? Au unaishi na mwanamke bila cheti cha ndoa?Nakupinga, ni ushamba kupanga kufumania
Ukila hela za mwanaume lazma ufumaniwe tu😅😅😅Afadhali, sio busara kabisa kuingilia faragha za watu.
Ni zaidi ya ushamba, ni ulimbukeni wa mapenzi.Nakupinga, ni ushamba kupanga kufumania