Sasa jaribu kumtafunia mkewe uone kama hayo anayosema anaweza kuishi nayo 😅! Easier said than done...Kwa neno lingine amehalalisha nyie kuleni tu vinono hamna suala la kufumaniwa🐒
Hata kama ni mke au mume wako kuandaa fumanizi ni tabia za kipuuzi na za kisokwe.
Huwezi kumpangia binadamu uchi wake ampe nani au asimpe nani. Kila binadamu mwenye akili timamu anapaswa kuwa huru kabisa na mwili wake.
Hatukatai, na je amekwenda huko nje kutoa mbususu siku unagundua amekujia na magonjwa ya ajabu na ameshakuambukiza muda mrefu unaanza kuhangaika nayo? Kwanini asijiondoshe kwenye muungano wenu wa hiari ili awe huru kufanya hayo anayoona yanafaa kwake tena bila ya kutumia kipato chako?Hata kama ni mke au mume wako kuandaa fumanizi ni tabia za kipuuzi na za kisokwe.
Huwezi kumpangia binadamu uchi wake ampe nani au asimpe nani. Kila binadamu mwenye akili timamu anapaswa kuwa huru kabisa na mwili wake.
Na namba zake za simu.Wekeni picha ya mke wake
Ya nini? Kama wewe ni mwanaume kweli kamuombe mwenyewe mke wake.Wekeni picha ya mke wake
Ni hatariMojawapo ya kiashiria kinachoonesha kiwango cha chini cha ustaarabu na utu wa mwanadamu ni kupigana, kuharibu, kujeruhi au kuua kwa sababu ya mapenzi.
Binadamu waliofikia viwango vya juu vya ustaarabu walishatoka katika hali za aina hii za uhayawani na ushenzi(barbarism). Wanafahamu kuna wakati na inawezekana mapenzi ya mwenzi wao yanaweza kuisha kabisa na hivyo huwa wepesi kukubaliana na hali hiyo inapotokea hivyo hata kama waliishi pamoja nusu karne.
Binadamu wasiostaarabika ndio huwa kama Sokwe au Penguins inapotokea mwenzi wake ameishiwa mapenzi naye na anaonekana kuhamishia au kutaka kuhamishia mapenzi hayo kwengine. Hapo ndipo fitna na ukatili wa kila aina utakapoibuka dhidi ya huyo mwenzi wake ikwepo matukio kama "kuandaa fumanizi", " kupaka mafuta" kuchoma watu ndani ya nyumba, kuharibu biashara yake na wengine kufikia hadi kuua!
Hongera Waziri Simbachawene kupiga marufu mmojawapo ya hizi tabia za kishenzi ambayo imechekuliwa kama ni jambo lilio sawa na sahihi kwa muda mrefu sana. Lazima watu wajifunze na wafahamu mapenzi hayalazimishwi, yakiisha yameisha.
Heheheh huyu dawa ni kupita na mkewe tu! Ila nina wasiwasi atakuwa fugly!Ya nini? Kama wewe ni mwanaume kweli kamuombe mwenyewe mke wake.
Hakuna uhuru wa kutumia uchi nje ya ndoa.kumbuka ndoa ni mkataba wa watu wawili kwa hiari kuishi kwa uaminifu mpaka mwisho wa maisha yao,sasa huo Uhuru wa kutumia uchi wako wakati ukiwa na mkataba na mtu mwingine unautoa wapi?Hata kama ni mke au mume wako kuandaa fumanizi ni tabia za kipuuzi na za kisokwe.
Huwezi kumpangia binadamu uchi wake ampe nani au asimpe nani. Kila binadamu mwenye akili timamu anapaswa kuwa huru kabisa na mwili wake.
Kuna mambo mepesi sana kuongeleka ila magumu kutekelezeka! Ukila mke wa mtu ukafumaniwa marinda ni halali ya mwenye mke na hutafanya lolote akikudhibiti!Ni kosa kuua mwizi na watu wanaua wezi kila siku..
We ukifumaniwa ukalawitiwa utaenda polisi??Polisi wenyewe wakifumaniwa wanaliwa...
Huko polisi utaenda sema nini?Kama hawajakucheka na kukwambia tutafatilia...
Kaa mbali na wake za watu kwa usalama wako
Hivi una mke? Au unaishi na mwanamke bila cheti cha ndoa?
Iko hivi haya mambo yatakwisha endapo tu kama mwanamke amekuchoka akaamua kujiondoa ndoani na kuondoka kwako kisheria na kwenda huko anakoona yeye kunamfaa, huyo akiliwa mbususu na hata kama akiliwa mwili wote na usibakie hakuna shida, lakini kama eti amekuchoka na bado yupo kwako, unamhudumia kwa kila kitu then atoe mbususu nje aisee! Mafumanizi hayatakwisha, watu watauana kwa sana, wagoni wengine watashikishwa ukuta, na vipigo watapokea tu.
Hii kauli ya huyo Waziri inaitumbukiza Tanzania kuwa taifa la kishenzi kuwahi kutokea duniani. Maana ikiwa hakuna kuingilia faragha basi kumbuka wazinzi watautumia mwanya huo kula mbususu mpaka basi.
That's not what he said, amedai fumanizi lisiwe la kupanga hata kama una cheti cha ndoa, ukiwafumania 'accidentally'[emoji38][emoji38] kama kuna kitu cha aina hiyo na una cheti cha ndoa ndipo unawashitaki polisi[emoji1787][emoji1787].Kama una cheti cha ndoa nenda kafumanie. Tuache haya mambo ya kizushi
Duuh, we jamaa no msomi zaidi ya wote humu ndani, ingawa sijui upo mrengo gani wa chanjo ya kovidiMwanamke ama mwanaume uke ama uume ni mali yake binafsi, umemkuta anayo na hata mkiachana bado kila mtu ataondoka na mali yake.
Hivyo kila mtu ana uhuru wa kumpa mtu yoyote anaemtaka, sasa wewe ukiona mke wako ama mume wako anagawa hiyo kitu na hujapenezwa na hilo, muache ili usipate matatizo.
Mnapoamua kua kwenye mahusiano ama ndoa, makubaliano makubwa hua ni kila mtu amtunzie mwenzake uke wake na uume wake, sasa iwapo mtu haishi kweye hayo makubaliano na wewe hujapenda hilo jambo, achana nae usije kupata matatizo.
Tukubaliane kua uke ama uume ni mali ya mwenye nayo exclusively, ana haki ya kuitumia atakavyo, kikubwa ni wewe kujiondoa pale mtu anapoamua kutumia mwili wake atakavyo.
Nimemshangaa sana huyo anayejipa uhuru wa kutumia kikojoleo wakati kakubali kuolewa! 😅Hakuna uhuru wa kutumia uchi nje ya ndoa.kumbuka ndoa ni mkataba wa watu wawili kwa hiari kuishi kwa uaminifu mpaka mwisho wa maisha yao,sasa huo Uhuru wa kutumia uchi wako wakati ukiwa na mkataba na mtu mwingine unautoa wapi?
Unataka kutumia uchi wako kwa Uhuru,ni rahisi tu jitoe kwenye ndoa,ila una ndoa ulilipiwa mahari,unaishi kwa mumeo,unatumia jina lake,una watoto nae nk halafu useme uko huru kutumia uchi wako huko nje halafu bado unarudi tena kwa mwenza wako,huo Uhuru haupo,jiandae kufumaniwa tu,na anayekufumania omba awe mstaarabu utoke salama.
Mwisho,kufumania ni hatua mojawapo ya kupata ushahidi usioacha shaka wa usaliti wa mwenza wako kwa hatua zaidi za kisheria au kimaamuzi,lakini sio lazima inategeme mtu wa mtu,kama unaweza kupata ushahidi kivingine sawa.
Tena wakristo tunaambiwa Mwanamke hana haki juu ya mwili wake Bali mumewe na mume hana haki juu ya mwili wake Bali mkewe,hauko huru.
Tutawafunga mkitufumania.Ukila hela za mwanaume lazma ufumaniwe tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Hakuna uhuru wa kutumia uchi nje ya ndoa.kumbuka ndoa ni mkataba wa watu wawili kwa hiari kuishi kwa uaminifu mpaka mwisho wa maisha yao,sasa huo Uhuru wa kutumia uchi wako wakati ukiwa na mkataba na mtu mwingine unautoa wapi?
Unataka kutumia uchi wako kwa Uhuru,ni rahisi tu jitoe kwenye ndoa,ila una ndoa ulilipiwa mahari,unaishi kwa mumeo,unatumia jina lake,una watoto nae nk halafu useme uko huru kutumia uchi wako huko nje halafu bado unarudi tena kwa mwenza wako,huo Uhuru haupo,jiandae kufumaniwa tu,na anayekufumania omba awe mstaarabu utoke salama.
Mwisho,kufumania ni hatua mojawapo ya kupata ushahidi usioacha shaka wa usaliti wa mwenza wako kwa hatua zaidi za kisheria au kimaamuzi,lakini sio lazima inategeme mtu wa mtu,kama unaweza kupata ushahidi kivingine sawa.
Tena wakristo tunaambiwa Mwanamke hana haki juu ya mwili wake Bali mumewe na mume hana haki juu ya mwili wake Bali mkewe,hauko huru.
Dunia duara, kuna kitu kinaitwa karma kwa kuwa anataka kurahisisha mambo, ipo siku kuna wahuni wataruka na mke wake, halafu tuone unafiki wake 🤣Sasa jaribu kumtafunia mkewe uone kama hayo anayosema anaweza kuishi nayo 😅! Easier said than done...
Utashangaa huyo huyo waziri kakutumia jeshi la mabaunsa na KY!
Cheza na vyote lakini kaa mbali na mali za watu(Dhuluma) na Wake/Wapenzi wa watu ,ukicheza na hivyo vitu hakika usipotolewa marinda basi watakurestisha in peace.
Hamna fumanizi ambali sio la kupangwa sababu kinachofanyika kule faragha kinafanywa na watu wenye akili timamu na kwa mpango maalumu wa kificho!That's not what he said, amedai fumanizi lisiwe la kupanga hata kama una cheti cha ndoa, ukiwafumania 'accidentally'[emoji38][emoji38] kama kuna kitu cha aina hiyo na una cheti cha ndoa ndipo unawashitaki polisi[emoji1787][emoji1787].
Hairuhusiwi kuwadhalilisha wala kuwarekodi, hapo unakuwa umefanya jinai.