Waziri Gwajima: Alichofanyiwa binti wa Yombo ni kitendo kibaya kisicho na utu, nimewasiliana na Waziri wa Mambo ya Ndani ili haki itendeke

Dr Gwajima kula ugali na nsansa, shushia na semi sweet, dry wine, nakuja kukulipia.
 
Safi sana Mama Gwajima,Kuzima makali ya kesi Geshi linamuita binti malaya kutupumbaza kisaikolojia.Kwa utamaduni wa watu wachache wenye akili fupi kuitwa malaya tayari ni kuwalinda wabakaji mmoja wapo ni mwanajeshi wa Jeshi la wananchi na picha yake ipo wazi hata humu JF.Kwanini Afande atajwe.Tufafanuliwe vizuri kuhusu afande aliyetajwa.ALAFU WAVUTA BANGI TUSIVUNJIWE HESHIMA KWANI NI WASTAARABU KUSHINDA WACHACHE KWENYE GESHI LA WAUAJI WA KUDUNGA SINDANO ZA SUMU KULE MTWARA.
 
Ingekuwa ni Chadema wamefanya mkutano ndio ungejua nguvu ya polisi
Wametusoma na wameshachukua hatua!!

Huko Bush kwenu usalama upo!!?

Kuna tetesi za wachuna ngozi plus watoa figo wamo vichakani na wanatishia usalama wa wananchi!

Vipi kwani huko kwenu hujasikia!!?nimeshasikia maeneo mawili vijijini kuhusu tetesi hizo!
 
 

Attachments

  • IMG-20240819-WA0007.jpg
    111.4 KB · Views: 1
  • IMG-20240819-WA0010.jpg
    89.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0008.jpg
    93.8 KB · Views: 1
  • IMG-20240819-WA0006.jpg
    80 KB · Views: 2
  • IMG-20240819-WA0005.jpg
    119.6 KB · Views: 1
  • IMG-20240819-WA0009.jpg
    98.4 KB · Views: 1
  • 1000031903.jpg
    328.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…