Waziri Gwajima ampatia cheti mwanaume aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi

Waziri Gwajima ampatia cheti mwanaume aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi

Kidume cha mbegu inatakiwa siku ya harusi hata kabla bi harusi hajakukimbia uanze wewe kujisikia vibaya unamuoa huyu wakati kuna vyuma vikali zaidi ndiyo kwanza unaviona siku ya harusi.

Sasa hapo akikukimbia siku ya harusi ndiyo kwanza unasema "Yeeeeees, kanipa nafasi kuopoa chuma kikali zaidi kile palee siti za mbelembele pale nimekikubali..." 🤣🤣🤣
Unaweza upoa chuma hapo harusini , ukaoa , kikishaenda kunawa uso ukakuta chuma sio chuma kweli , uso feki , shepu fake ukapigwa vibaya sana .
 
"Kuhusu matarajio yake ya ndoa alisema, suala hilo bado lipo iwapo, Bi. harusi huyo bado atakuwa tayari".

Huyu kenge hakustahili cheti. Anadai ataendelea na harusi iwapo bibi harusi huyohuyo aliyemkimbia atakuwa tayari.
Me mwenyewe nimeshangaa
 
Mwanamme wa shoka ukikimbiwa na bi harusi siku ya harusi unatakiwa kufanya maamuzi magumu unachagua mwanamke mwingine hapo hapo kwenye harusi, hata bridesmaid mmoja ambaye hajaoelewa unampanga mnaendeleza jambo lenu.

Katika wanawake wote waliokuja kwenye harusi utakosa anayekutamani na kutaka kuolewa hapo?

Mnamaliza lengo la siku hiyo mengine mtajuana baadaye.

One monkey doesn't stop a show 🤣🤣🤣
Naunga mkono hoja
 
"Kuhusu matarajio yake ya ndoa alisema, suala hilo bado lipo iwapo, Bi. harusi huyo bado atakuwa tayari".

Huyu kenge hakustahili cheti. Anadai ataendelea na harusi iwapo bibi harusi huyohuyo aliyemkimbia atakuwa tayari.
Nifala mmoja tu huyu na yawezekana bi harusi akimaliza kupandwa huko akarud na jamaa akampokea. Hawa ndo wanaume wanajinyonga kisa mapenzi niwathaifu sana wanasingizia eti wanaimani. Iman gan ya kingese hyooo
 
Kabisa , hawa watu wakiwa kwenye mitoko kama ya harusi , wote wanakua wazuri na mashepu matata wanayo.
Unatakiwa kuchukua a paper towel, unaipiga maji kidogo, halafu mfute uso uone kitakachotoka hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom