Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
- Thread starter
-
- #21
Bado anampenda Bi harusi wake"Kuhusu matarajio yake ya ndoa alisema, suala hilo bado lipo iwapo, Bi. harusi huyo bado atakuwa tayari".
Huyu kenge hakustahili cheti. Anadai ataendelea na harusi iwapo bibi harusi huyohuyo aliyemkimbia atakuwa tayari.
Unaweza upoa chuma hapo harusini , ukaoa , kikishaenda kunawa uso ukakuta chuma sio chuma kweli , uso feki , shepu fake ukapigwa vibaya sana .Kidume cha mbegu inatakiwa siku ya harusi hata kabla bi harusi hajakukimbia uanze wewe kujisikia vibaya unamuoa huyu wakati kuna vyuma vikali zaidi ndiyo kwanza unaviona siku ya harusi.
Sasa hapo akikukimbia siku ya harusi ndiyo kwanza unasema "Yeeeeees, kanipa nafasi kuopoa chuma kikali zaidi kile palee siti za mbelembele pale nimekikubali..." 🤣🤣🤣
Me mwenyewe nimeshangaa"Kuhusu matarajio yake ya ndoa alisema, suala hilo bado lipo iwapo, Bi. harusi huyo bado atakuwa tayari".
Huyu kenge hakustahili cheti. Anadai ataendelea na harusi iwapo bibi harusi huyohuyo aliyemkimbia atakuwa tayari.
Naunga mkono hojaMwanamme wa shoka ukikimbiwa na bi harusi siku ya harusi unatakiwa kufanya maamuzi magumu unachagua mwanamke mwingine hapo hapo kwenye harusi, hata bridesmaid mmoja ambaye hajaoelewa unampanga mnaendeleza jambo lenu.
Katika wanawake wote waliokuja kwenye harusi utakosa anayekutamani na kutaka kuolewa hapo?
Mnamaliza lengo la siku hiyo mengine mtajuana baadaye.
One monkey doesn't stop a show 🤣🤣🤣
Nifala mmoja tu huyu na yawezekana bi harusi akimaliza kupandwa huko akarud na jamaa akampokea. Hawa ndo wanaume wanajinyonga kisa mapenzi niwathaifu sana wanasingizia eti wanaimani. Iman gan ya kingese hyooo"Kuhusu matarajio yake ya ndoa alisema, suala hilo bado lipo iwapo, Bi. harusi huyo bado atakuwa tayari".
Huyu kenge hakustahili cheti. Anadai ataendelea na harusi iwapo bibi harusi huyohuyo aliyemkimbia atakuwa tayari.
Hakustahili chetiBado anampenda Bi harusi wake
Unaenda nacho bafuni kukitest kwanza.Unaweza upoa chuma hapo harusini , ukaoa , kikishaenda kunawa uso ukakuta chuma sio chuma kweli , uso feki , shepu fake ukapigwa vibaya sana .
Kabisa , hawa watu wakiwa kwenye mitoko kama ya harusi , wote wanakua wazuri na mashepu matata wanayo.Unaenda nacho bafuni kukitest kwanza.
Unatakiwa kuchukua a paper towel, unaipiga maji kidogo, halafu mfute uso uone kitakachotoka hapo kwanza.Kabisa , hawa watu wakiwa kwenye mitoko kama ya harusi , wote wanakua wazuri na mashepu matata wanayo.
Nipo karume hapa nachagua raba ya kuvaa tarehe 29 ntakupigiaaaa hapa kuna kelele za maspikaaaaUko wapi kwanza?!
Fuleshi mi ngoja nikutafutie barakoa ya kushona huku Shekilango.Namba ile ile voda😀Nipo karume hapa nachagua raba ya kuvaa tarehe 29 ntakupigiaaaa hapa kuna kelele za maspikaaaa