Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Cheki mpumbavu mwingine huyu na upumbavu wake hadharani
 
Jibu nilichokuuliza!! And guess what? Bora kuwa na utoto kuliko kuwa na UPUMBAVU wa aina yako!!!
sasa wewe pimbi unanukuu comment kumi unataka nijibu ipi. hebu anza moja moja
 
Kumbe we ni pimbi kabisa unang'ang'ania utapeli wake mbona soma na Hii uje kubisha naona umeshikiwa akili na wazungu BURE KABISA

 
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji26]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1855][emoji1855][emoji1855][emoji2011][emoji2011][emoji1987][emoji1987][emoji1987][emoji1987]
 
Ukiwa mwana siasa hutakiwi kuwa mtu wa vinyongo na visasi,hawa ndio wana siasa walioiva kabisa,unaweza kushangaa jioni ukawakuta wako pamoja wanapata dinner...
 
Kwani kupewa dawa BURE pamoja na.fedha za.COVAX sio HONGO???

Unapewa DAWA NA PESA??

TUNAMAANISHA NCHI IMEHONGWA!!!!
 
Kusoma hujui, ina maana hata picha ukutani huzioni! Sasa ikiwa mtu anajifanya anaweza kukufua wafu huku akishindwa kukufua hata ndugu zake wa damu... hivi hujui ni namna gani mtu wa aina hiyo anavyokosa uhalali wa kuaminiwa?!
Humu umedhihirisha upeo wako mdogo bado unafanya mashambulizi binafs unaacha Hoja we utakuwa binto wa kambo wa Gwajigirl
 
Kwahiyo Rais anapomwapisha waziri, anafanya hivyo kama Mwenyekiti wa chama?!

Ina maana Dr. Gwajima aliapishwa kama mteuliwa wa CCM au aliapishwa kama waziri wa serikali ya JMT?
Hapa tena AIBU TU

Umesoma andiko au umekuja kubishana bila kusoma?

Ngoja wenzako waliosoma wapite kwenye comments zako wakudharau btw sikujibu tena

Labda urudi kwenye uzi uje na hoja za.msingi
 
Uhusiano mkubwa kwenye hii issue ni UONGO.

Rashid ni muongo na matapeli. Shemeji anawashangaa watu wanaomuamini mtu muongo kama huyu Askofu..... Na mifano kaitoa.
Umeona uzi mwingine kwamba waliochoma chanjo ya J&J ndio wanaokufa? Ntakupa link
 
Hata Gwaji boy naye alishawahi sema kabla kwamba ni shemeji wa Dr na ndugu wa mumewe Dr....
Kuna jamaa alishupalia kiwa sio shemeji yake ndio nkawa namjuza.kwamba mi mesikia kwenye clip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…