Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yaani na bunge lishaanza!Natamani Leo ingekuwa Jumapili.
Ila tusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani na bunge lishaanza!Natamani Leo ingekuwa Jumapili.
Umenena vema Waziri wa MAMBO YA NDANI TU.RC anampa Amri RPC
Waziri anampa Amri IGP, eg Waziri wa Mambo ya Ndani.
Soma nimeandika nn, inaelekea unakurupuka, nani kasema RC anampa Amri IGP?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja Gwajiboy ampeleke akathibitishe huo mkono wa baunsa.
Hapo ndo atajua hata Mtwara nyau huwa siyo mboga.
Sa kama.wehu si mchanje wenye akili mbona mnalazimisha kuchanja WEHU?Sasa kama anatokea mtu anajiita Mchungaji; kisha anafanya yote hayo halafu leo hii aniambie kuhusu chanjo!! Nikimsikiliza nitakuwa mwehu wakati tayari hayo juu yanaondoa credibility ya uchungaji wake!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1312][emoji1312][emoji1312]Na kweli hawa watu wanatupiga kiini macho, wakikutana anga zao, huyo huyo Doroth anampigia magoti utadhani anaomba toba. Mwisho wa siku stering anauwawa, mchezo unaishia hapo.
Mishahara ya nani mkuu[emoji848][emoji848]
Kuna mdau kasema ni majina tu "ye anawajua vema" [emoji38][emoji38][emoji38]Hao ni mashemeji....mdogo wake askofu ndo mume wake waziri G - Wakili msomi Methusela Gwajima.
We jamaa ndio unaanza.kuleta utetezi wa kindezi kama mlivoanza na.Mama Samia Kwamba anadharaulika kwakuwa "mwanamke" ndio maana mkaanza kumpa cheo cha AMIRI JESHI MKUU hata kama anafungua tawi la chama [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naona mnamdharau Waziri Gwajima sbb ni mwanamke, mnaona kama hana mamlaka vile, na hii tabia ni kasumba mbaya sana, maana ni dharau kabisa.
[emoji28][emoji28][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] wanaelewa ila wanajitoaga ufahamu tu.Na siro kasema hata hiyo barua wakiipata,wataangalia yanayosemwa km ni kweli yanawahusu kushughulika nayo.
Tusubiri Sasa tuone
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]Sirro,gwajima dume,gwajima jike.Mchawi,Mganga,jini.Wote wapo kwenye the same cycle.
Haa ha haa, eti kuangalia porn iliotengenezwa na shemeji yako...!Hana lolote,kwanza kuangalia porno iliyotengenezwa na shemeji yako ni kosa kitamaduni aombe msamaha.
Lina baraka za Maza?? Ngoja arudi ndio utajua hujuiTusiraruliane mashati tuiache Serikali ifanyakazi yake bro. Agizo la Waziri lina baraka za baraza la Mawaziri na Rais hakukurupuka. Serikali ndivyo ifanyavyo kazi. Sisi ni watazamaji Serikali chapa kazi kuwaokoe Wananchi wako toka kwa vishoka.
Dorothy alisema mwenyewe kuwa Askofu Rashidi ni shemeji yake. Mara nyingi mtu akiolewa katika ukoo fulani basi anawaita ndugu wote wakiume wa mume wake kuwa ni shemeji yake. Wengine mpaka wale wote wa kabila la mume wake ni shemeji zake. Dorothy hakukosea kwenye hili.Who told you hawa Gwajima wawili ni mashemeji?
Wala hawajuani kifamilia, ni yule mwanasheria anaitwa Gwajima, ambaye ni msukuma ndio kamuoa Dorothy, ila Gwajima pastor fake wala hawajuani kabisa na yule, sbb ni wasukuma tu labda useme ndio wanaitana hivyo, ila hawana ushemeji, sbb enzi za mwendazake usukuma ulishamiri sana
Basi mwambie atafute pa kulala, maana mtiti wa mawifi atakuwa anauelewa vizuri.....Hao ni mashemeji....mdogo wake askofu ndo mume wake waziri G - Wakili msomi Methusela Gwajima.
Dr Doroth Gwajima sio msukuma. Ni mnyiramba aliyeolewa na Msukuma (Advocate Methusela Gwajima, mtia nia wa Kawe 2020)Gwajiboy vs Gwajigirl
wote ni
wasukuma
Ni ccm,
ni wanasiasa,
ni comedian.
Watafikia muafaka
😂😂😂😂😂Kama hujui nyamaza utaaibika
Kofia za rais zinatumika mahala husika.
Rais akimwapisha mteuliwa wa CCM anamwapisha kama Mkt wa Chama na sio RAIS