Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

RC anampa Amri RPC

Waziri anampa Amri IGP, eg Waziri wa Mambo ya Ndani.

Soma nimeandika nn, inaelekea unakurupuka, nani kasema RC anampa Amri IGP?
Umenena vema Waziri wa MAMBO YA NDANI TU.

Mawaziri wengine wanaishia kwa RPC
 
Sasa kama anatokea mtu anajiita Mchungaji; kisha anafanya yote hayo halafu leo hii aniambie kuhusu chanjo!! Nikimsikiliza nitakuwa mwehu wakati tayari hayo juu yanaondoa credibility ya uchungaji wake!!
Sa kama.wehu si mchanje wenye akili mbona mnalazimisha kuchanja WEHU?
 
Na kweli hawa watu wanatupiga kiini macho, wakikutana anga zao, huyo huyo Doroth anampigia magoti utadhani anaomba toba. Mwisho wa siku stering anauwawa, mchezo unaishia hapo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1312][emoji1312][emoji1312]
 
IMG_9578.jpg
 
Naona mnamdharau Waziri Gwajima sbb ni mwanamke, mnaona kama hana mamlaka vile, na hii tabia ni kasumba mbaya sana, maana ni dharau kabisa.
We jamaa ndio unaanza.kuleta utetezi wa kindezi kama mlivoanza na.Mama Samia Kwamba anadharaulika kwakuwa "mwanamke" ndio maana mkaanza kumpa cheo cha AMIRI JESHI MKUU hata kama anafungua tawi la chama [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Hoja hafifu kabisa mkuu.

Tunajadili kauli yake na personal attack kwenye mambo ya kikazi
 
Na siro kasema hata hiyo barua wakiipata,wataangalia yanayosemwa km ni kweli yanawahusu kushughulika nayo.
Tusubiri Sasa tuone
[emoji28][emoji28][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] wanaelewa ila wanajitoaga ufahamu tu.
 
Tusiraruliane mashati tuiache Serikali ifanyakazi yake bro. Agizo la Waziri lina baraka za baraza la Mawaziri na Rais hakukurupuka. Serikali ndivyo ifanyavyo kazi. Sisi ni watazamaji Serikali chapa kazi kuwaokoe Wananchi wako toka kwa vishoka.
 
Tusiraruliane mashati tuiache Serikali ifanyakazi yake bro. Agizo la Waziri lina baraka za baraza la Mawaziri na Rais hakukurupuka. Serikali ndivyo ifanyavyo kazi. Sisi ni watazamaji Serikali chapa kazi kuwaokoe Wananchi wako toka kwa vishoka.
Lina baraka za Maza?? Ngoja arudi ndio utajua hujui
 
Who told you hawa Gwajima wawili ni mashemeji?

Wala hawajuani kifamilia, ni yule mwanasheria anaitwa Gwajima, ambaye ni msukuma ndio kamuoa Dorothy, ila Gwajima pastor fake wala hawajuani kabisa na yule, sbb ni wasukuma tu labda useme ndio wanaitana hivyo, ila hawana ushemeji, sbb enzi za mwendazake usukuma ulishamiri sana
Dorothy alisema mwenyewe kuwa Askofu Rashidi ni shemeji yake. Mara nyingi mtu akiolewa katika ukoo fulani basi anawaita ndugu wote wakiume wa mume wake kuwa ni shemeji yake. Wengine mpaka wale wote wa kabila la mume wake ni shemeji zake. Dorothy hakukosea kwenye hili.

Amandla....
 
Back
Top Bottom