CCM nomaaa, leo wameanza kuumbuana mchana kweupe.Loh!!, CCM haina rafiki wa kudumu.Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
Atakwambia lile lilikuwa wimbi la kwanza la Covid,na hili ni wimbi la tatu.Kwani na sisi tukimuuliza dokta Gwajima si ni yeye alisema tujifukize na kupiga nyungu mpaka akatengeneza video yeye na mumewe kutuhamaisha Watanzania?
Imekuwaje sasa amebadili gear angani? Au kwasababu bwana yule amesha resti in pisi?
Chamsingi polisi wasitumike na upande wowote waache huu mpambano unoge......Mtu na na shemejiye wote mazi ganyange wataropokeana mpaka mwisho wataanza kuvunjiana heshima
Hajui siasa yule mama.Siasa zinaenda vuruga familia Sasa, kitakachofuata ukoo wa Gwajima watamtenga waziri, waziri umechemka, hiyo ngoma ungemuachia naibu wako halafu wewe unabaki pembeni ukinywa maji ya Kilimanjaro.
Wewe si unaona boss wako anatoa pasi kali KWA washambuliaji wa Chadema Halafu anakaa pembeni Kama vile haoni
Umeiweka vemaKwani na sisi tukimuuliza dokta Gwajima si ni yeye alisema tujifukize na kupiga nyungu mpaka akatengeneza video yeye na mumewe kutuhamaisha Watanzania?
Imekuwaje sasa amebadili gear angani? Au kwasababu bwana yule amesha resti in pisi?
Hivi ni shemeji wa kweli?Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.
Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
Jumapili ipi? Gwajima Jumapili iliyopita ndio ilikuwa mwisho wake kuongelea chanjoUtamkoma Gwajiboy! Subiri Jumapili ijayo....
Huzijui familia za kiafrika.Usitegemee Gwajima Waziri kutengwa as long analeta ugali nyumbani kwaoSiasa zinaenda vuruga familia Sasa, kitakachofuata ukoo wa Gwajima watamtenga waziri, waziri umechemka, hiyo ngoma ungemuachia naibu wako halafu wewe unabaki pembeni ukinywa maji ya Kilimanjaro.
Wewe si unaona boss wako anatoa pasi kali KWA washambuliaji wa Chadema Halafu anakaa pembeni Kama vile haoni
Mkuu sahau kwamba mtu binafsi anaweza kuishinda serikali hasa ya kiafrika.mwisho wa siku Askofu Gwajima lazima ashinde