Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.

Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
CCM nomaaa, leo wameanza kuumbuana mchana kweupe.Loh!!, CCM haina rafiki wa kudumu.
 
Kwani na sisi tukimuuliza dokta Gwajima si ni yeye alisema tujifukize na kupiga nyungu mpaka akatengeneza video yeye na mumewe kutuhamaisha Watanzania?

Imekuwaje sasa amebadili gear angani? Au kwasababu bwana yule amesha resti in pisi?
Atakwambia lile lilikuwa wimbi la kwanza la Covid,na hili ni wimbi la tatu.
 
Siasa zinaenda vuruga familia Sasa, kitakachofuata ukoo wa Gwajima watamtenga waziri, waziri umechemka, hiyo ngoma ungemuachia naibu wako halafu wewe unabaki pembeni ukinywa maji ya Kilimanjaro.

Wewe si unaona boss wako anatoa pasi kali KWA washambuliaji wa Chadema Halafu anakaa pembeni Kama vile haoni
Hajui siasa yule mama.
 
Kwani na sisi tukimuuliza dokta Gwajima si ni yeye alisema tujifukize na kupiga nyungu mpaka akatengeneza video yeye na mumewe kutuhamaisha Watanzania?

Imekuwaje sasa amebadili gear angani? Au kwasababu bwana yule amesha resti in pisi?
Umeiweka vema

Bila ya kujali Gwajima(mchungaji) yupo sawa au la , hata kama waziri ana hoja, bado hili swali ni muhimu kwa waziri.
 
Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, lakini mimi waziri wa wananchi nimekula kiapo mbele ya Rais cha kutumiakia nchi, sio kumtumikia shemeji.

Waziri huyo amewashangaa wananchi wanaomuamini “huyu shemeji yangu Askofu Gwajima, hivi si ni yeye alisema atamfufua Amina Chifupa, Je alimfufua? Hivi si ni yeye alisema ubunge ni jambo dogo hawezi kuwa mbunge lakini hivi sasa ni mbunge. Hivi si ni yeye alikutwa na mrembo akasema ni mkono wa baunsa.. inakuwaje mnamuamini bado.”
View attachment 1895773
Hivi ni shemeji wa kweli?
 
Siasa zinaenda vuruga familia Sasa, kitakachofuata ukoo wa Gwajima watamtenga waziri, waziri umechemka, hiyo ngoma ungemuachia naibu wako halafu wewe unabaki pembeni ukinywa maji ya Kilimanjaro.

Wewe si unaona boss wako anatoa pasi kali KWA washambuliaji wa Chadema Halafu anakaa pembeni Kama vile haoni
Huzijui familia za kiafrika.Usitegemee Gwajima Waziri kutengwa as long analeta ugali nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom