Ukwelimtupu00
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 289
- 416
Jibu murua kabisa. Hii nchi imekuwa na vijana wa ovyo sana.Kuoa hamtaki siyo? Watoto wenu wataolewa nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu murua kabisa. Hii nchi imekuwa na vijana wa ovyo sana.Kuoa hamtaki siyo? Watoto wenu wataolewa nani
Na wamekuwa wengi wanajiingiza chupa huyu waziri ni mtu wa kutafuta sifa twitterHapo nakuelewa wale wanaocheza picha za ngono ndio aanze nao ila Mashalove hajawahi cheza picha za ngono, kuna mahali huwa kuna baikoko wanacheza uchi na wanatia midole sehemu, sasa hao ndio wa kuanza nao
Na wamekuwa wengi wanajiingiza chupa huyu waziri ni mtu wa kutafuta sifa twitterHapo nakuelewa wale wanaocheza picha za ngono ndio aanze nao ila Mashalove hajawahi cheza picha za ngono, kuna mahali huwa kuna baikoko wanacheza uchi na wanatia midole sehemu, sasa hao ndio wa kuanza nao
Ndugu, ukweli sihitaji hata hizo sifa, unaweza kuanza tu kampeni ya kuzisitisha uone kama nitaacha sasa kutimiza wajibu wangu na uwajibikaji wangu wa kihistoria tangu niajiriwe na kabla ya hapo. Natimiza tu jukumu langu la kuibua mijadala ya kijamii kuhusu ajenda ambazo zimelala na wengi hawazijui, Ili ziwasaidie katika safari ya maisha jamii.Na wamekuwa wengi wanajiingiza chupa huyu waziri ni mtu wa kutafuta sifa twitter
Sana tena huku kwenye nyimbo wanaharibu sana watoto wanaimba vitu bila kujuwa haya ni matusi makubwa, nyimbo zinaishi na watoto wana nafasi kubwa kusikia mziki kuliko maneno aliyosema sijui msanii kama huyo Masha. Huku kwenye nyimbo ndio matusi sisi wakubwa tukikaa tu na Mama zetu au shangazi zetu zikipigwa unasikia aibu inabidi u skip tu.hata wale wasanii kutoka wasafi na yule jamaa mmoja ameimba nyimbo ya mtoto kautaka huyoooo wote wale wachukuliwe hatua.
Itakuwa haina maana kuwa na Sheria ambazo wananchi hawazijui halafu hapo hapo wanasema zitungwe Sheria. Faida yangu moja ni kuwa, nakuwa mstari wa mbele kuwaelimisha Yale ambayo yapo na hamyajui, mnajadili, mnatoa maoni. Siku moja mtakatiliwa wenyewe na watoto wenu mtakosa hata pa kuanzia. Sasa kwa nafasi yangu nitashtaki wangapi? huenda nisiwamalize, basi wengine wataendelea ikiwemo nyie, maana jamii ni nyie wote.Sitaki kumzungumia Mashalove pekee, na mm sio mpenda Kick kwa kweli, ninachotaka kusema wapo wasanii wanafanya na kuvaa vitu vya ajabu kama kina zuchu, so mama utawashitaki wangapi, unajua mambo yanabadilika kwa kweli, zamani wanamziki hawakuwa wakivaa kama kina mashalove so tuangalie nyakati tulizonazo, wataacha kuvaa hivyo wakina mashalove lakini television zitakuwa zinarusha nyimbo ambazo zina watu waliovaa zaidi ya mashalove ninachotaka kusema mashalove ameathiri jamii kwa mavazi yake au kina zuchu kwa kiasi gani? Je hao wanaoonyesha wanamziki wa nje je hawajaathiri kizazi cha 2000.
Nimekaa na ndugu zangu wanawatoto na wanalelewa vzr yena kwa misingi ya Dini, so kila mzazi afanye jukumu lake. Mlee mtoto katika njia impasayo nae hataicha haya atakapokuwa mzee.
Unafanyakazi nzr sana na nakupenda ila pia kuna mahali pia pa kuangalia, au Mama yangu kama mnaweza kiwakusanya na kuwasikiliza kujua kwa nini wanafanya hivyo mtakuwa mmewasaidia wengine wanamachungu moyon na wengine wameshajikatia tamaa.