Waziri Gwajima atangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili

Hapo nakuelewa wale wanaocheza picha za ngono ndio aanze nao ila Mashalove hajawahi cheza picha za ngono, kuna mahali huwa kuna baikoko wanacheza uchi na wanatia midole sehemu, sasa hao ndio wa kuanza nao
Na wamekuwa wengi wanajiingiza chupa huyu waziri ni mtu wa kutafuta sifa twitter
 
Hapo nakuelewa wale wanaocheza picha za ngono ndio aanze nao ila Mashalove hajawahi cheza picha za ngono, kuna mahali huwa kuna baikoko wanacheza uchi na wanatia midole sehemu, sasa hao ndio wa kuanza nao
Na wamekuwa wengi wanajiingiza chupa huyu waziri ni mtu wa kutafuta sifa twitter
 
Na wamekuwa wengi wanajiingiza chupa huyu waziri ni mtu wa kutafuta sifa twitter
Ndugu, ukweli sihitaji hata hizo sifa, unaweza kuanza tu kampeni ya kuzisitisha uone kama nitaacha sasa kutimiza wajibu wangu na uwajibikaji wangu wa kihistoria tangu niajiriwe na kabla ya hapo. Natimiza tu jukumu langu la kuibua mijadala ya kijamii kuhusu ajenda ambazo zimelala na wengi hawazijui, Ili ziwasaidie katika safari ya maisha jamii.

Jumapili njema na heri kwako
 
hata wale wasanii kutoka wasafi na yule jamaa mmoja ameimba nyimbo ya mtoto kautaka huyoooo wote wale wachukuliwe hatua.
Sana tena huku kwenye nyimbo wanaharibu sana watoto wanaimba vitu bila kujuwa haya ni matusi makubwa, nyimbo zinaishi na watoto wana nafasi kubwa kusikia mziki kuliko maneno aliyosema sijui msanii kama huyo Masha. Huku kwenye nyimbo ndio matusi sisi wakubwa tukikaa tu na Mama zetu au shangazi zetu zikipigwa unasikia aibu inabidi u skip tu.
 
Itakuwa haina maana kuwa na Sheria ambazo wananchi hawazijui halafu hapo hapo wanasema zitungwe Sheria. Faida yangu moja ni kuwa, nakuwa mstari wa mbele kuwaelimisha Yale ambayo yapo na hamyajui, mnajadili, mnatoa maoni. Siku moja mtakatiliwa wenyewe na watoto wenu mtakosa hata pa kuanzia. Sasa kwa nafasi yangu nitashtaki wangapi? huenda nisiwamalize, basi wengine wataendelea ikiwemo nyie, maana jamii ni nyie wote.

Pia mnajua kuwa, zipo shida nyingi huku nchini zinafanyiwa kazi na hazijawahi kwisha, zingine zimepungua, zingine bado, sasa mimi ndani ya kipindi hiki kifupi ndiyo nitamaliza zote? Hapana. Nimeanzisha mwendo, safari inaendelea, kama zinavyoendelea zingine, tupende kutakiana heri Ili nanyi kwa wakati wenu au wako mtakiwe heri.

Naomba kuwatakia heri ya jumapili 🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…