4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Izi ngojera nazo zimetuchosha, mpaka mda huu sioni shida ,chanjo tulisha sema Sio lazima ambae hataki Basi abaki yeye ila asipotoshe wengine,Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake.
CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA
Sasa hii ya mtu na shemeji yake yamekua MAIGIZO, ni swala la serikali kumtaka Gwajima kuacha kupotosha Basi, maana halazimishwi mtu kuchanja, Sasa mnaanza michambano, Mara mkono wa baunsa , enzi za usichana wake WENDA uyu mama Tabia ya kusutana alikua nayo sana