Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #21
Anaonekana ni mtu wa vituko.Kumbuka wakati wa nyungu alivyokuwa na vituko sasa kama siye kabisa aliyekuwa kakumbatia nyungu hadi kupiga nyungu hadharani.,
Si umeona hata hapo kwenye video. Ameamua kuonyesha alivyo fit kwa kukimbia kidogo š¤£.
Ananichekeshaga sana huyu mama aisee.