Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Katika paragraph yako. Umesema haku specialize. Kwa nini unafikiri MPH siyo specialization? Halafu chini ukasema ame-specialzie MPH. Which one is which? Ame speciliaze ama haku-specialize? MPH kusomwa na mtu aiyekuwa daktari ama nurse kunaifanya isiwe specialization kivipi?
Sio MHP mkuu, bali ni MPH.
Sio medical speciality hiyo mkuu kwa sababu MPH anasoma hata mtu ambae amefanya non-clinical degree kwenye undergraduate. Eg hata mtu aliesoma BSc sociology anafanya MPH. Ila medical specialization (eg MMED Internal Medicine) the only qualification ni a clinical degree (MD/MBBS). Mtu ambae hajafanya MD/MBBS hawezi kamwe kufanya MMED ambayo ndo clinical specialization.
That is why MPH is NOT a medical speciality.
Omusolopogasi