#COVID19 Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

Kumbuka wakati wa nyungu alivyokuwa na vituko sasa kama siye kabisa aliyekuwa kakumbatia nyungu hadi kupiga nyungu hadharani.,
Anaonekana ni mtu wa vituko.

Si umeona hata hapo kwenye video. Ameamua kuonyesha alivyo fit kwa kukimbia kidogo 🤣.

Ananichekeshaga sana huyu mama aisee.
 
Mme wake wakati anamchumbia nahisi alipata shida sana.Haeleweki na akieleweka habadiliki.

Kuna kila dalili udogo wake alijihusisha kuuza pombe za kienyeji.

Anastahili kupitia maodi kama wauguzi wapo kazini lakini siyo kuwapamba viongozi
 
Shida ya wakosoaji na wapinzani wa chanjo hawako consistent mara nguvu za kiume,mara watu watakufa,mara kupunguza waafrika ,mara taa zinawaka ulipochanjwa,mara dna zinabadilika , yaani upuuzi mtupu ,utasikia sijui wameoteshwa kwenye ndoto mara unabii yaani kila mtu anasema lake kutegemea alikunywa mbege,bia au KVant .KaLi kuliko zote eti ukichanja unakuwa Zombie 😂😂😂😂

Safi Sana Waziri wa Afya.
 
Tuwe na Utamaduni wa kujiuzulu kwenye nafasi zetu, huyu Waziri porojo alizokuwa akizipiga Mwaka jana na hii U-turn ya sasa mdomo umenibaki wazi kwa kushangaa.
 
"Down to earth".....

I too like her zealousness.....

#KaziIendelee
 
Kwa hiyo wewe unataka kusma MHP siyo specialty? Haku specialize maana yake nini?
Haku specialize.
Ni MD, halafu akafanya Masters of Public Health (MPH), ambayo sio medical specialization kwa sababu inaweza kufanywa na hata watu ambao hawana medical background.
So she is a public health specialist.
Nyani Ngabu
 
Anasema "hao wana ajenda zao wanazoziingiza kwenye suala la UVIKO".....

Yule "MSHENGA" yule......
Yule "MSHENGA" yule......

KUMUAMINI MSHENGA YULE NI SAWA NA KUMPA TEJA MZIGO WA "SKREPA" AUPELEKEE NYUMBANI KWAKO

#TujitokezeniKuchanjwa
 
Anasema "mtu hajui BIOLOGY ,CHEMISTRY halafu anapigapiga tu makelele".....

Hivi yule dada Mbunge ALIFUFULIWA?!!!
 
Huyu waziri wetu wa afya huyu 🤣🤣

Hahaha nimeishia tu kumpenda aisee..
Sasa kibwetere kaingiaje hapo shemeji😜!? Jibu hoja usirukeruke mama vepe😜!? Hatujui madhara ya 5years baadae na hasa ktk uzao! Msiwe mmejidunga drip ili kuzuga watz wajiingize kwenye uzombi! Tumeambiwa mpango mzima ni ndani ya 2 yrs majibu yatatiki, athari za chanjo zitaanza kuwa dhahiri!

Halafu mama waziri hivi wanachanja kwa ajili gani maana hata haikingi watu dhidi ya corona 🤔!

Bado nipo na Gwajima ktk hili, sidanganyiki😂😜!
 
Very fani me napenda tu anavyokaa kichwani [emoji172][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa hiyo wewe unataka kusma MHP siyo specialty? Haku specialize maana yake nini?
Sio MHP mkuu, bali ni MPH.
Sio medical speciality hiyo mkuu kwa sababu MPH anasoma hata mtu ambae amefanya non-clinical degree kwenye undergraduate. Eg hata mtu aliesoma BSc sociology anafanya MPH. Ila medical specialization (eg MMED Internal Medicine) the only qualification ni a clinical degree (MD/MBBS). Mtu ambae hajafanya MD/MBBS hawezi kamwe kufanya MMED ambayo ndo clinical specialization.
That is why MPH is NOT a medical speciality.
Omusolopogasi
 
Hotuba zake ni very shallow,hana utulivu.WANAUME MPO? Zungu alimuuliza.Doro kamjibu TUNA KAZI NAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…