#COVID19 Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

Huyu Mama kama yupo upande unaouamini, atakupa furaha sana...

Na kama yupo upande usiouamini, atakukera sana!!!
 
Huyu waziri wetu wa afya huyu [emoji1787][emoji1787]

Hahaha nimeishia tu kumpenda aisee.

She is special.

Yaani huyo mama hana tofauti na bi kidude, anaongea ongea tu. Kujimwambafai kwiingi, oooh Iramba sijui nini, kwa kweli huyo mama na Mwigulu huwa siwaelewi kabisa ni vituko tumeletewa serikalini
 
Hahaha!.

Huyu mama anafikisha ujumbe huku anachamba.
Hicho ndio kimenifanya nimchukie siku zote nilimpenda ila kuchamba kwa hadhi yake hastahili yaani kwa maneno Yale alitakiwa avae kijora, nimeumia sana alipowasuta wana habari, ni kweli kaongea na Mimi nilimsikia Tena aliongea kwa kejeli hadi nikajiuliza wamechanja lini? Au ndio anatoka kuchanja? Jana kakana hakusema wakati TV zimemuonyesha akiongea, awaombe msamaha, mtanisamehe huyu mama nimemdharau sana
 
Hapendezi sasa kuwa waziri [emoji16] tena wa afya, mambo yanahitaji ufafanuzi wa kitaalamu analeta uchizi
Seema wewe mkuu nikisema Mimi nitaonekana nina wivu, kwa nilivyomsikiliza shemeji kazi anayo.
 
Mara wachanjaji hawajavaa gloves
 
Kuna mtu alijinadi yeye ni kichaa so alikuwa anachagua vichaa wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…