#COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

Hapa kashindwa tu,kutaja shinyanga..,kuepusha aibu na tamko la katibu bavicha iringa..,

Kwa neno,Kanda ya ziwa anamaanisha shinyanga
Shinyanga haiko kanda ya ziwa. Bavicha mmekuwa kama mmechanganyikiwa kabisa
 
Wanawake wenye miguu ya matende Kama wewe huwa hamnaga akili
Acha kumshambulia. Amesema Ukweli.

Haya ni maigizo tu, eti watu wanakufa sana!

Wamekufa sana wangapi? Kwa ugonjwa gani? Lini? Wapi? Panaitwaje?

Acheni maigizo ya kuwafurahisha watoa misaada!

Kiufupi wananchi wameshapuuza huu usanii wa corona ndio maana hawavai mabarakoa wala nini.
 
Hahahaha,

Pamoja na kushinda jf bado haujui mikoa ya Kanda ya ziwa,

Aisee elimu inahitajika sana
Sikia Chaggadema, mimi kwetu ni MARA.

Shinyanga siyo mkoa ulioko kanda ya ziwa.

Kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Mwanza na Geita.

Kwahiyo wewe unameza kila unachokiona humu JF?
 
KWAIO YULE DOGO WA CHADEMA SIMIYU AACHIWE YUPO SAHIHI SIO??
 
Sikia Chaggadema, mimi kwetu ni MARA.

Shinyanga siyo mkoa ulioko kanda ya ziwa.

Kanda ya ziwa ni Kagera, Mara, Mwanza na Geita.

Kwahiyo wewe unameza kila unachokiona humu JF?
TUNAPOSEMA MIKOA YA MASHARIKI, MOROGORO INAINGIA AU HAIINGII??
 
Sasa yule kijana wa iringa wamemkamatia nini!!
Kumbe nikweli kanda ya ziwa Covid19 imechachamaa
 
Yaani kitendo cha Rais aliyepita kusema uongo ndo kinachukuliwa kuwa Ukweli wa Kitaifa?
 
Tukizingatia kuvaa barakoa kwa ufasaha,na kunawa mikono, Corona tutaipiga chini, tatizo nyinyi misukule ya dikteta magufuli mnapotosha ukweli, Sasa inakoendea maambukizi yakizidi, jiandae kwa Lockdown maalum ,
 
Kwani hapa ni ugonjwa gani unaongelewa?
Yaani kuna mijitu mijinga aisee.
Eti "ugonjwa gani, wapi, lini". Toka nje uote jua kama baridi imegandisha ubongo wako.

Achana naye, chawa huyo:

 
Dr. Gwajima basi wekeni lockdown huko kanda ya ziwa na kilimanjaro !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…