#COVID19 Waziri Gwajima: Marekani imechanja 2.4% ya watu wake na J&J

#COVID19 Waziri Gwajima: Marekani imechanja 2.4% ya watu wake na J&J

Hana akili huyu mtu. Kwa nini asilimia ndogo hiyo kuliko nyingine kama hii chanjo ndio bora? Wako wa Marekani hata kuandika ni taabu tupu.

Katamka jina Kibwetere isiwe kamlenga shemeji yake. Anaona Watanzania wanaotafakari hoja zitolewazo ndio wajinga na wanadanganywa wakati yeye kaolewa huko kwenye huo ukoo.
Ni kweli katumia neno Kibwetere kumlenga Askofu Rashid. Lakini asubiri jumapili majibu maana chanjo sasa tumeibakiza katika ugomvi wa kifamilia.
 
Askofu Rashid yeye anasema dunia nzima iko kwenye majaribio
Na mimi nafikiri hilo ndio la muhimu kuweka kichwani kwa mtu ambaye amekusudia kuchanja, ukubali tu kiujumla kuwa chanjo zipo kwenye majaribio hivyo vyovyote iwavyo kwa chanjo yeyote ile ni muendelezo wa hayo majaribio na ile form ya kuridhia kuchanjwa inaleta maana kubwa katika hili.
 
Nahisi wametuletea tuwe experimented kwanza kama tutadumu
Experiment ya wapi? millions wameshachanjwa kutumia hiyo chanjo, na mmeletewa za Johnson kwa sababu zile za moderna au Pfizer itakuwa changamoto kutumika Africa maana zinahitaji kuwekwa kwenye baridi 2 - 5 centigrade kwa siku tano tuu la sivyo ni ya kutupa, pigeni chanjo nyie acheni conspiracy za kina Gwajima na ngano zao za kutunga , US at the peak walikuwa wanakufa watu 6000 kwa siku leo wanaokufa ni chini ya 500 kwa siku baada ya chanjo, na wanaokufa 99% hawakupiga chanjo, ni hiari yenu na corona bongo inaua vibaya sana ila tatizo data hazitoki kwa ajiri ya umaskini wetu, piga chanjo uwe salama especially kama umri mkubwa na afya sio nzuri
 
Ugonjwa wa corona umeonyesha uwezo wa watanzania wa kufikiri.kati ya mambo watu wanayasema ni "tumeletewa chanjo tuwe majaribio", watu karibu 1.93billion duniani wamechanja hiz chanjo,lakini leo zimetua bongo kuna wanaoamini zipo kwa majaribio!! Siajabu mpaka watakaochanja kufikia asilimia 10% tz baadhi ya nchi ulimwenguni zitakuwa zimeshamaliza kukinga raia wao wote,sasa hayo majaribio ili iweje? Corona ipo,inaua na haina dawa.kama corona itakuwepo kwa miaka 2 tena ina maana new variants watakuwepo,na kama tunakebehi bila kuwa na njia madhubuti za kujikinga zaid ya r.i.p basi tuombe Mungu atupendelee.
 
Chanjo haizuii kupata corona, Wala haizuii usife kwa corona. Hilo unapaswa kulifahamu
 
Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.

Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.

Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.

Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.

Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?

Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Kwani wewe ndugu umelazimishwa kuchanja? Hutaki acha!
 
Beggars are not choosers..., Kama harusini high table wote wamekula pilau nyie wageni waalikwa mkapewa wali wa maji unasema huu wali hauliki sababu high table hawakula...

Ukizingatia haulazimishwi kula huo ubwabwa
 
Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani.

Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073.

Ambapo hao milioni 8 ni sawa na 2.4% ya raia wa Marekani wote.

Kwa mtazamo wangu hii chanjo hata Wamarekani wenyewe hawaiamini sana na ndio maana idadi ya watu wake waliochanjwa ni ndogo sana.

Ningependa kujua ni chanjo gani ambayo USA wamechanja asilimia kubwa ya raia wake? Je, kwanini wasingetupatia hiyo?

Sisi tukiweza kuchanja hii yote waliyotupa tutakuwa tumechanja zaidi ya asilimia 6 ya watanzania. Lakini kwao wamekomea tu 2.4%. Hapa kuna mambo ya kujiuliza na kujiridhisha.
Hizo za Pfizer na Moderna hatuna uwezo kuzitunza. Zinahitaji mnyororo wa ubaridi (cold chain) wa nyuzi joto minus 90 degrees centigrade (-90 degree C). Mnyororo wetu wa ubaridi wa chanjo hauzidi nyuzi joto minus 4 degrees centigrade ambayo ndiyo ulioko kwenye nchi zote duniani. Huu wa minus 90 degrees ni special, haukuwapo kabla ya ujio wa chanjo za Pfizer na Moderna.

Chanjo za Johnson & Johnson, AstraZenecca na Sinovac ya China zinatumia mnyororo wa ubaridi huu huu tulionao kwa chanjo zingine ambao uko mpaka vijijini kwenye kila zahanati na mobile services zake.
 
Experiment ya wapi? millions wameshachanjwa kutumia hiyo chanjo, na mmeletewa za Johnson kwa sababu zile za moderna au Pfizer itakuwa changamoto kutumika Africa maana zinahitaji kuwekwa kwenye baridi 2 - 5 centigrade kwa siku tano tuu la sivyo ni ya kutupa, pigeni chanjo nyie acheni conspiracy za kina Gwajima na ngano zao za kutunga , US at the peak walikuwa wanakufa watu 6000 kwa siku leo wanaokufa ni chini ya 500 kwa siku baada ya chanjo, na wanaokufa 99% hawakupiga chanjo, ni hiari yenu na corona bongo inaua vibaya sana ila tatizo data hazitoki kwa ajiri ya umaskini wetu, piga chanjo uwe salama especially kama umri mkubwa na afya sio nzuri
Umesikia kwamba kuna BOOSTER au unafikiri ukichoma CHANJO mara moja ndio umemaliza?
 
Ni kweli katumia neno Kibwetere kumlenga Askofu Rashid. Lakini asubiri jumapili majibu maana chanjo sasa tumeibakiza katika ugomvi wa kifamilia.

Hajui hawa Watanzania wanao msikiliza leo akiongea ndio walimsikiliza wakati ule wa JPM. Kaamu kujitoa akili na kujivua uso wa haya/aibu.
 
Inawezekana wametoa kipaumbele kwa chanjo inayotengenezwa kwao ili fedha ibaki kwao
 
Hiari pia inapaswa kuendana na taarifa. Kumbuka kuna watu ambao kuchanjwa ni lazima kama vile wahudumu wa afya n.k.
Hakuna anayelazimishwa. Hata hao watumishi wa afya hakuna anayewalazimisha wala mwenye mamlaka ya kuwalazimisha. Ukiona watumishi wa afya wanachanjwa ujue wamefikia uamuzi huo baada ya kupima faida na hasara za kupata hizo nchanjo. Ukumbuke kuwa hawa ndiyonwagumu kuwashawishi kwani ni wajuzi, lazima wapate scientific evidence na siyo bla bla tu.
 
Nchi hii bwana mtu akipata bando tayari ameshakuwa daktari , anaongea mambo ya msi gi sana ,wengine hata medical hawajasomea wala pharmacology ,Tuache unduwazi unapopata ursa hebu chanjwa usije ukatufia bure

sent from HUAWEI
 
Kwahyo Madam Prezdaa amechoma hyo Ya Jensen sijui johnson?.sio pfizer na moderna za kina Joe Biden?
 
Sometimes in life, it worth to be sceptical when the rest or majority are optimistic, and to be optimistic when the rest or majority are sceptical/pessimistic.

Gwajima anaepinga chanjo anaweza kuja kuwa sahihi siku moja.

Mimi binafsi kwa sasa sijui nisimame upande gani, ila muda ndio utanipa jibu
Simama upande wa mwenyekiti wako. Yeye alishachanja Dubai na alishasema chanjo hizi ni za lazima hasa kwa wafuasi wake. Utakataliwa kuhudhuria mikutano ya chama mwenyekiti atakaporudi kutoka mahabusu hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom