Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote waliohudhuria pamoja na YEYE NA WASAIDIZI WAKE HAWAKUVAA BARAKOA,Pili suala la damu ni nyeti sana katika kuokoa maisha ya mwenzio awe ndugu,jamaa,mzazi wako n.k.
Ukipata bahati mbaya ya kuhitaji damu takriban hospitali zote nchini hazina akiba ya kutosha ya Damu na hii inatokana na Udhaifu kwenye Wizara Anayoiongoza.Eti anatoa Onyo huku akijua wazi hali ilivyo.
Tutanunua Damu kuokoa maisha ya ndugu zetu.WATUMISHI WA WIZARA YAKO WAPO SAHIHI KABISA KUUZA DAMU.Kujifanya unawaonya ni kutojua majukumu yako.Ni wewe huyo huyo wakati wa awamu ya Tano ulipinga chanjo,ilipoingia awamu ya sita ukaunga mkono.
Mheshimiwa Waziri wa Afya Dr.Dorothy Gwajima YOU DONT KNOW WHAT YOU ARE DOING.
CHA AJABU HADI SASA UPO KWENYE WIZARA NYETI SANA KWA MAISHA YA WATANZANIA. HATUKUELEWI. BORA UJIUZULU.
Chanzo: Channel ten news.Monday 22Nov 6AM.