Eti Dr Gwajima hajui halafu mleta mada ndio anafahamu.
Hivi mgonjwa afike hospitali inventory inaonyesha kwenye blood bank kuna stock ya damu husika.
Mtu yupo hoi bin taaban inaenda tafutwa damu hakuna, watu washauza kwa mlango wa nyuma.
Halafu sasa damu sio biashara ya kusema kuna mtu ana nunua kama njugu ni lazima inauzwa hospitali binafsi inapohitajika.
Na ni ujinga wa hali ya juu kwenye inventory control, watu inabidi wajue stock ikoje kama low waongeze. Sasa akiba inaonyesha ipo ya kutosha watu wanaacha jitihada za kukusanya kumbe kuna mafala washauza.
Hivi unajua medical errors unazoweza sababisha na hiyo biashara, not sure ata unaelewa source of medical error caused by human factors kama hizo.
Eti Dr Gwajima hajui, halafu mtu anae bwabwaja ujinga ndio anajua.