jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hatumshangai ndivyo alivyo kigeugeu..kibaraka wa mabeberu..unafiki ndio umemjaa
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chanjo yenywe imepitwa na wakati maana kuna kirusi kipya toka huko bondeni kitakwenda kuiweka Dunia nzima ikiwamo Chato kwenye lockdownKwani si waseme tu kuwa kuchanja Ni lazima mbona wanasema Ni hiari alafu wanahangaika na matamko kila leo?.
Hahahaha mkuu hicho naskia Ni balaa na hakisikii chanjo yoyote. Kwahyo Hadi mkoa wa chato utakua kwe lockdownchanjo yenywe imepitwa na wakati maana kuna kirusi kipya toka huko bondeni kitakwenda kuiweka Dunia nzima ikiwamo Chato kwenye lockdown
VIONGOZI AMBAO HAWAJACHANJWA CORONA ACHIENI NGAZI
Waziri wa Afya Dkt.Dorothy Gwajima amewataka viongozi wa umma na watendaji wa Serikali ambao hawajapata chanjo ya Corona kujiuzulu nafasi zao kwani hawawezi kuwashawishi wananchi kuchanjwa wakati wao wamegoma kupokea chanjo hiyo https://t.co/LBOdtnjnzI
View attachment 2028595
Si ilikua hiari ? Wasiwafanye wakaanzisha staging ya chanjo fake au vyeti feki vya chanjo ili mtu asipoteze kaziWaziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.
Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona.
Waziri wa Afya amesema kama Rais kachanja ili iwe mfano, sasa hao viongozi hawatetei msimamo wa Serikali
Tulisha liona hili huko nyuma: #COVID19 - Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi
Kw kilusi hiki kipya hata hiyo chanjo haina maana,nibora waendelee kutoa mwongozo wa jinsi ya watu waendelee kujulinda kuliko iviWaziri wa Afya Dr. Dorothy Gwajima amewataka viongozi mbali mbali wa serikali ambao hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kuachia nafasi zao kwani wameshindwa kuwahamasisha wananchi kupokea chanjo hiyo.
SOURCE: ITV Habari
Hivi kwanza anategemea kwenda jimbo gani 2025 manake naona yamejaa na hakuna wapinzaniKulinda Cheo tu kinamfanya abwatuke hivyo.
Kama nchi ni ya babu yake wataachia.
Hajiulizi tu CCM Ina wanachama 8m. Chanjo zilikuwa 1m,hazikuisha mpaka zikaexpire.
Hatumii akili wenye chama wenyewe hawataki misumu,kisa kumfurahisha beberu kwa ajili mkopo.
Kumbe kuna watu wamegoma kupokea chanjo 😄😃😁,kila tulikuwa tunaambiwa watu wengi wanapokea chanjo, nilikuwa nawaambia corona hii ya kutafuta kwa tochi, akuna Mtu anayeweza kwenda kudungwa misumu ambayo haijulikani effect zake badae,acha ziwadodee wajue Watanzania Sio mapompoma tena, Magufuri aliacha ametuondolea woga hata ifike mawimbi 10, maana nasikia limekuja la nne 😁😃😃😄😀VIONGOZI AMBAO HAWAJACHANJWA CORONA ACHIENI NGAZI
Waziri wa Afya Dkt.Dorothy Gwajima amewataka viongozi wa umma na watendaji wa Serikali ambao hawajapata chanjo ya Corona kujiuzulu nafasi zao kwani hawawezi kuwashawishi wananchi kuchanjwa wakati wao wamegoma kupokea chanjo hiyo https://t.co/LBOdtnjnzI
View attachment 2028595
Atakuwa anamtindio wa ubongo huyu!!Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.
Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa...