#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

Kumbe kuna watu wamegoma kupokea chanjo 😄😃😁,kila tulikuwa tunaambiwa watu wengi wanapokea chanjo, nilikuwa nawaambia corona hii ya kutafuta kwa tochi...
Za kunyapia nyapia ni kwamba hakuna cha mutation wala baba yake na mutation, kirusi kinaendelea kukarabatiwa maabara na kuachiwa kikiwa na nguvu mpya........wacha tuendelee kuhesabu mawimbi.
 
Kumbe kuna watu wamegoma kupokea chanjo [emoji1][emoji2][emoji16],kila tulikuwa tunaambiwa watu wengi wanapokea chanjo, nilikuwa nawaambia corona hii ya kutafuta kwa tochi, akuna Mtu anayeweza kwenda kudungwa misumu ambayo haijulikani effect zake badae,acha ziwadodee wajue Watanzania Sio mapompoma tena, Magufuri aliacha ametuondolea woga hata ifike mawimbi 10, maana nasikia limekuja la nne [emoji16][emoji2][emoji2][emoji1][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbowe aliwahi kusema tena kwa jazba kuwa, Serikali ilete chanjo na watu wachanjwe kwa lazima....Huenda sasa tuko kwenye utekelezaji. Kila kiongozi anafanya lake kama kwamba hatuna kiongozi mkuu??. 😳
 
image-376.png
 
Huyu waziri hana impact yoyote kwenye wizara yake... sasa tamko kubwa kama ilo ataweza kulimudu kweli...
Anyway nchi inaendeshwa ki_ miemuko na ... dramatically nyingi kuliko uhalisia wenyewe..
 
Huyu mama hajiamini ..siyo kauli ya kutolewa msomi Kama huyu ...anastahili kupisha uchunguzi dhidi ya matamshi dhidi yake. Ila Hakuna mtu ambaye alishapambana na Mch Josephath Gwajima akabaki salama
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona....
Yeye ndie aachie ngazi kwa kutuletea mtafaruku, kwa sheria zipi za ajira zinazosema asiyechanjwa aachie ngazi kwa vile tu raisi kaamua kwa hiari yake mwenyewe kuchanjwa?

Viongozi waache ngonjera za kujikomba kwa waliowateua kisa anatetea tumbo lake, nchi hii ni yetu sote na hao waliopo kwenye ajira nao ni watu kawa wao na wanahaki zao,pia nao wana familia zao,huu ni UPUUZI.
 
Waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima amewataka viongozi wite wa serikali ambao hawajachanjwa chanjo ya Corona waavhie ngazi mara moja.

Waziri Gwajima amesema kiongozi asiyechanja hawezi kuwa na hamasa ya kushswishi watu wengine Wachanjwe ndio maana mimi kama waziri natoa ushauri wajiuzulu nafasi zao mara moja.

Source: ITV habari
Aanze yeye kujiuzuru ,hii nchi sio yake peke yake,,yeye ni nani bana.
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona...
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yeye ndie aachie ngazi kwa kutuletea mtafaruku, kwa sheria zipi za ajira zinazosema asiyechanjwa aachie ngazi kwa vile tu raisi kaamua kwa hiari yake mwenyewe kuchanjwa? viongozi waache ngonjera za kujikomba kwa waliowateua kisa anatetea tumbo lake, nchi hii ni yetu sote na hao waliopo kwenye ajira nao ni watu kawa wao na wanahaki zao,pia nao wana familia zao,huu ni UPUUZI.
Mkuu usije ambukiza wengine waliochanja.
Wewe haki yako ni kukaa nyumbani ukijisikilizia.
 
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima karudi na rungu.

Ametoa rai kuwa viongozi ambao mpaka sasa hawajachanjwa, watatakiwa waachie ngazi kwani hawawezi kusimamia kampeni ya kusimamia uchanjwaji dhidi ya corona...
Gwajike tukubali si riziki!! She is just another liability to our country!!
 
Mkuu usije ambukiza wengine waliochanja.
Wewe haki yako ni kukaa nyumbani ukijisikilizia

Mkuu usije ambukiza wengine waliochanja.
Wewe haki yako ni kukaa nyumbani ukijisikilizia.
Mkuu kwa haraka haraka inaonekana umeshachanja hizo sumu.. Simple Logic.. unajisikiaje kuambiwa kimetoka kirusi kipya cha nne cha Omicron na chanjo za zamani hazisaidii!?

Je, vikiendelea kutoka virusi vipya kila mwaka utaendelea kuchoma hizo sumu hadi lini!?.. na mbaya zaidi kurudi nyuma huwezi inabidi uendelee kuungana na wajinga wote duniani walioamua kukabidhi immunity system zao kwa wazungu.

Juzi kuna ndugu yangu nilimwambia kwa jinsi virusi vinavyozidi kuja vipya kila mwisho wa mwaka kuna wakati ambao hatujawahi kupokea chanjo hata moja tutaanza kuonewa wivu..
 
Mkuu kwa haraka haraka inaonekana umeshachanja hizo sumu.. Simple Logic.. unajisikiaje kuambiwa kimetoka kirusi kipya cha nne cha Omicron na chanjo za zamani hazisaidii!?...
Siyo siri nimechanja siku nyingi.

Lakini vile vile ujue Imicron ni kirusi kinachoenea kwa kasi kubwa lakini hakina nadhara makubwa kama kirusi cha Cvid-Delta.

Chanja kujihami.
 
Back
Top Bottom