#COVID19 Waziri Gwajima: Viongozi wa Serikali wasiochanjwa waachie ngazi

VIONGOZI AMBAO HAWAJACHANJWA CORONA ACHIENI NGAZI
Waziri wa Afya Dkt.Dorothy Gwajima amewataka viongozi wa umma na watendaji wa Serikali ambao hawajapata chanjo ya Corona kujiuzulu nafasi zao kwani hawawezi kuwashawishi wananchi kuchanjwa wakati wao wamegoma kupokea chanjo hiyo https://t.co/LBOdtnjnzI
 
huyu si alikuwa anakula jogging na nyungu!..dah!
 

Mkuu Umesikiliza TBC-1
Leo Kuhusu Kirusi kipya cha Africa kusini na Chanjo?
Kuwa chanjo haiwezi fanya kazi?
 
Mama anavyokwenda kwa Mabeberu na kuchukua hela zao mnategemea nini? Ni swala la mda tu, tutapelekwa kwa pingu kwenda kuchanjwa kwa lazima.
 
Sio kazi ya asiechanja kumlinda ambae amechanja, ni kazi ya chanjo kumlinda ambae amechanja.

Sasa wewe umechanja, umejikinga si uendelee na maisha yako, acha mimi ambae sijachanja niishi maisha yangu nijifie huko kwa covid.

Sasa umechanja shida iko wapi tena?
 
Si ilikua hiari ? Wasiwafanye wakaanzisha staging ya chanjo fake au vyeti feki vya chanjo ili mtu asipoteze kazi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Waziri wa Afya Dr. Dorothy Gwajima amewataka viongozi mbali mbali wa serikali ambao hawajachanjwa dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kuachia nafasi zao kwani wameshindwa kuwahamasisha wananchi kupokea chanjo hiyo.

SOURCE: ITV Habari
Kw kilusi hiki kipya hata hiyo chanjo haina maana,nibora waendelee kutoa mwongozo wa jinsi ya watu waendelee kujulinda kuliko ivi
 
Hivi kwanza anategemea kwenda jimbo gani 2025 manake naona yamejaa na hakuna wapinzani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Bora gwajiboy kaamua kupiga kimya, maana si mchezo....mara aamuru majeshi yamkamate gwajingo, safari hii kaamuru viongozi wa gavumenti waachie ngazi.....
 
Kumbe kuna watu wamegoma kupokea chanjo πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜,kila tulikuwa tunaambiwa watu wengi wanapokea chanjo, nilikuwa nawaambia corona hii ya kutafuta kwa tochi, akuna Mtu anayeweza kwenda kudungwa misumu ambayo haijulikani effect zake badae,acha ziwadodee wajue Watanzania Sio mapompoma tena, Magufuri aliacha ametuondolea woga hata ifike mawimbi 10, maana nasikia limekuja la nne πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…